Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Mimi mwenyewe huwa nashindwa kushangaa,hii kitu wameitoa sayari gani ???
Hii ilikuwa ni tatizo.

Kwa sababu maana ya tuzo ni recognition ya ubora kwa kile ulicho kifanya, yaani kazi ya msanii pekee inatosha kumfanya aongie kwenye tuzo. Sasa ikitokea siku walienda kuomba kwa barua ni wasanii wa taarabu tu wata fanyaje?
 
Sasa hapo tutamkosa mshindi sahihi kama asipojaza fomu.Me nilifikiri labda mashabiki wangepewa hiyo nafasi kupendekeza wimbo/msanii katika kila category vinginevyo wasiostahili wataibuka kidedea na hapo ndo mvuto utakapopotea.
 
Basi ibadilishwe isitwe tuzo, iitwe hata mashindano ya muziki.

Kama mtu ka kosewa category, waandae nomination, wawepo wataalam wa muziki hata 10, wazipitie, halafu wana wapigia simu bwana Diamond tumekuweka kwenye muimba singeli bora, yeye ata waelimisha kuwa mimi siimbi singeli. Lakini kwa asilimia 90 ni ngum kuchanganya categories
Hapa wame fanya blunder mkuu.

Tuzo ni recognition huwezi ukajipendekeza kuwa recognized.
 
Sasa hapo tutamkosa mshindi sahihi kama asipojaza fomu.Me nilifikiri labda mashabiki wangepewa hiyo nafasi kupendekeza wimbo/msanii katika kila category vinginevyo wasiostahili wataibuka kidedea na hapo ndo mvuto utakapopotea.
Eeeeh
Mi mwenyewe niliwashangaa, kwa msanii mkubwa kama Ali Kiba au Diamond akachukue Form ya EATV award!!, wakat hata MTV hawakuwafanyia hivo.
Tuzo si nafas za kisiasa mpaka watoe form, wangeweka kura mashabiki tungependekeza wenyewe.
 
Mungu siku zote namwogopaga ila hilo bash LA clouds ndo naona JF kuwa lipo na nilijua ka Yale ya chuoni tu
 
Hii ilikuwa ni tatizo.

Kwa sababu maana ya tuzo ni recognition ya ubora kwa kile ulicho kifanya, yaani kazi ya msanii pekee inatosha kumfanya aongie kwenye tuzo. Sasa ikitokea siku walienda kuomba kwa barua ni wasanii wa taarabu tu wata fanyaje?
Mi naona ni njia nzuri tu za waandaaji walivoamua msanii ukichukua form na kujaza category flani inaonyesha umeridhika na mziki na nafasi yako, na hyo itatoa ulalamishi na kusema flani kapendelewa hyo category. Sema wasanii wengi walipuuza sasa ndo waona umuhimu wao. Na wengi wanapenda za nje na kusahau kuwa za nyumbani zina recognition muhimu sana tu, mie sijawahigi waona kina Beyonce wanapapatikia tuzo za nje na kudharau za ndani ka Grammy, MTV hata BET, ila kwetu watu wapuuzia vya nyumbani.
 
Kuna watu umu wanazuga wakosoaji wakubwa wkt hawajui kitu yan n washamba!!!
 
Mungu siku zote namwogopaga ila hilo bash LA clouds ndo naona JF kuwa lipo na nilijua ka Yale ya chuoni tu
Labda inawezekana kwavile sitaki kupitwa na jaambo but for what I know, huwa inabamba sana hata kama inalenga wanafunzi! Na miaka yote hata performance nayo inakuwa kubwa vile vile kama ilivyo mwaka huu!
 
Yaani sababu yao iko sahihi, lakoni kwa maana ya Tuzo, ukisha sema watu wakachukue form unakuwa umeiondoa, halafu kuhusu category, hivi nani asiye jua Ali kiba na Diamond wanaimba afro-pop, nani asiye jua Kina jux wana imba RNB, halafu ni vitu vidogo kama mki weka wataalam wa muziki wana wasaidia, kwa kuwa malalamiko ya wabongo huwa hayaishi , hivi hata hizi tuzo/mashindano bado malalamiko yatakuwepo tuu.
 
Mkuu umeanza kulalamika kabla ya muda, sipati picha tunzo zikishatolewa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ilikuwa ni tatizo.

Kwa sababu maana ya tuzo ni recognition ya ubora kwa kile ulicho kifanya, yaani kazi ya msanii pekee inatosha kumfanya aongie kwenye tuzo. Sasa ikitokea siku walienda kuomba kwa barua ni wasanii wa taarabu tu wata fanyaje?

Eatv award wamenikosha sana hivyo ndio tv kubwa duniani zinafanya e.g sound city,,MTV,,BET n.k
Kuna Sikh jamaa mmoja alikuwa anawalalamikia basata kwa kuwapa waandae,wakati anafiesta yake wala watu hawamzongizongi, acha watu wafanye kazi zenye weledi
 
Kizungumkuti! Na huku Iringa, Darsa yumo kweye list ya watakokuwemo kwenye tamasha la MTIKISIKO, lililoandaliwa na Ebony FM!
 
Hata wakishindana Eatv huwa washindi tu, waulize hao clouds na mwanafa wao walivyochoshwa na jide akiungwa mkono na Eatv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…