Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Hii ilikuwa ni tatizo.Mimi mwenyewe huwa nashindwa kushangaa,hii kitu wameitoa sayari gani ???
Kwa sababu maana ya tuzo ni recognition ya ubora kwa kile ulicho kifanya, yaani kazi ya msanii pekee inatosha kumfanya aongie kwenye tuzo. Sasa ikitokea siku walienda kuomba kwa barua ni wasanii wa taarabu tu wata fanyaje?