Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Wamejipanga wala next year nitahudhuriaUlinzi upo vizuri, amani inapatikana
View attachment 444845
Steji ipo kimataifa
View attachment 444847
Arrangement iko poa kwa mpangilio kama tupo marekani au south Africa
View attachment 444848
Kwa nn huend leo!?Wamejipanga wala next year nitahudhuria
Kuna mambo ziliingilia nikakosa companyKwa nn huend leo!?
Mwakan itabid twende woteKuna mambo ziliingilia nikakosa company
Khaaa, amesha perform watu tuko kwa njia!?,Ameshaperform tayar umemuonaa
Kwahiyo mtu kuweka kumbukumbu sawa ndo kutetea sio au mngependa kila mtu aishi kwa majungu?! Kwavile anayehusika ni fulani, basi tuseme uongo dhidi yake.....! Anyway, badala ya ASB ya 2015; nakuwekea ya miaka 3 iliyopita halafu angalia hizo tarehe kisha uangalie tarehe ya leo!!!Kwani ww unamtetea nani? ok mwaka jana walifanya hiyo bash? maana umesema kila mwaka huwa mnafanya
Huyo ni mtoto wa zamaniMnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Maelezo yako yana uhusiano na nilichoandika mimi? Kama unatafuta ligi za nani bora, sina time nayo; nilichofanya mimi ni kuweka kumbukumbu sawa... una lina lingine?Hata wakishindana Eatv huwa washindi tu, waulize hao clouds na mwanafa wao walivyochoshwa na jide akiungwa mkono na Eatv
Its just 14 bro mbna unajifunga mwenyeweKwahiyo mtu kuweka kumbukumbu sawa ndo kutetea sio au mngependa kila mtu aishi kwa majungu?! Kwavile anayehusika ni fulani, basi tuseme uongo dhidi yake.....! Anyway, badala ya ASB ya 2015; nakuwekea ya miaka 3 iliyopita halafu angalia hizo tarehe kisha uangalie tarehe ya leo!!!
After School Bash 2015
View attachment 444863
After School Bash 2014
View attachment 444866
After School Bash 2013
View attachment 444872
It's just 14 unamaanisha nini? Inaonekana unataka ligi manake nimekuwekea ya miaka 3 hapo halafu unasema it's just 14!!!!Its just 14 bro mbna unajifunga mwenyewe
Manfongo tayari amepata tunzo na Navy kenzo kama nilivyotabiri mkuu.Man fongo apate tuzo
Kuna kipengele cha singeli!?
Unaona sasa... kumbe unasema it's 14 ukidhani huwa wanafanya December 14 baada ya kuona Dec 14 mbili hapo juu bila kuangalia kwamba, hiyo moja imeandikwa December 14 lakini heading inasema "Ilivyokuwa Jana....!" which means ilivyokuwa December 13! Na hata ukiangalia kwenye kalenda utakuta December 13, 2014 ilikuwa Jumamosi ya pili ya December kama ilivyo leo kwamba ni Jmosi ya pili ya December 2016!!!Its just 14 bro mbna unajifunga mwenyewe
Ila leo ni 10th dec mkuu bado hujathibisha ukweli wakoUnaona sasa... kumbe unasema it's 14 ukidhani huwa wanafanya December 14 baada ya kuona Dec 14 mbili hapo juu bila kuangalia kwamba, hiyo moja imeandikwa December 14 lakini heading inasema "Ilivyokuwa Jana....!" which means ilivyokuwa December 13! Na hata ukiangalia kwenye kalenda utakuta December 13, 2014 ilikuwa Jumamosi ya pili ya December kama ilivyo leo kwamba ni Jmosi ya pili ya December 2016!!!
Kabisa aisee nitakuwa na company yako.Mwakan itabid twende wote
Itakuwa poa sanaKabisa aisee nitakuwa na company yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Unikumbushe tu tujiandae mapemaItakuwa poa sana
Ngoja ni weke kwenye mafaili yangu ya 2017, hii.
Hivi unachoshindwa kuelewa hapo ni nini?! Post yangu ya kwanza ni hi hapa nikielezea ratiba ya After Skul Bash:Ila leo ni 10th dec mkuu bado hujathibisha ukweli wako
Sawa; leo ni tarehe 10... Je, ni jumamosi ya ngapi hii kwa huu mwezi?! Hapo juu nimeonesha mwaka jana ilikuwa December 12; mwaka 2014 ilikuwa December 13 na mwaka 2013 ilikuwa December 14; na zote hizo ni Jumamosi ya pili ya December ya mwaka husika kama ilivyo leo Jumamosi ya pili ya December 2016...Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!