Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Kwani ww unamtetea nani? ok mwaka jana walifanya hiyo bash? maana umesema kila mwaka huwa mnafanya
Kwahiyo mtu kuweka kumbukumbu sawa ndo kutetea sio au mngependa kila mtu aishi kwa majungu?! Kwavile anayehusika ni fulani, basi tuseme uongo dhidi yake.....! Anyway, badala ya ASB ya 2015; nakuwekea ya miaka 3 iliyopita halafu angalia hizo tarehe kisha uangalie tarehe ya leo!!!

After School Bash 2015
Bash 2015.png

After School Bash 2014

Bash 2014.png

After School Bash 2013

Bash 2013.jpg
 
Hata wakishindana Eatv huwa washindi tu, waulize hao clouds na mwanafa wao walivyochoshwa na jide akiungwa mkono na Eatv
Maelezo yako yana uhusiano na nilichoandika mimi? Kama unatafuta ligi za nani bora, sina time nayo; nilichofanya mimi ni kuweka kumbukumbu sawa... una lina lingine?
 
Its just 14 bro mbna unajifunga mwenyewe
Unaona sasa... kumbe unasema it's 14 ukidhani huwa wanafanya December 14 baada ya kuona Dec 14 mbili hapo juu bila kuangalia kwamba, hiyo moja imeandikwa December 14 lakini heading inasema "Ilivyokuwa Jana....!" which means ilivyokuwa December 13! Na hata ukiangalia kwenye kalenda utakuta December 13, 2014 ilikuwa Jumamosi ya pili ya December kama ilivyo leo kwamba ni Jmosi ya pili ya December 2016!!!
 
Ila leo ni 10th dec mkuu bado hujathibisha ukweli wako
 
Ila leo ni 10th dec mkuu bado hujathibisha ukweli wako
Hivi unachoshindwa kuelewa hapo ni nini?! Post yangu ya kwanza ni hi hapa nikielezea ratiba ya After Skul Bash:
Unaifahamu ratiba ya After Skul Bash? Kila mwaka inakuwa jmosi ya 2 ya disemba! Sasa mlitaka waghairishe kwa sababu ya EATV wakati kama ilikuwa ni lazima kuwa tarehe tofauti basi ni EATV ndio walitakiwa kuweka siku nyingine kwa sababu wakati wanaweka iku ya leo tayar walijua kwamba kunakuwa na ASB!
Sawa; leo ni tarehe 10... Je, ni jumamosi ya ngapi hii kwa huu mwezi?! Hapo juu nimeonesha mwaka jana ilikuwa December 12; mwaka 2014 ilikuwa December 13 na mwaka 2013 ilikuwa December 14; na zote hizo ni Jumamosi ya pili ya December ya mwaka husika kama ilivyo leo Jumamosi ya pili ya December 2016...

Jumamosi.png

Kwahiyo, endapo hapatakuwa na tatizo, Skul Bash mwakani itakuwa December 09! Waliokuwa kwenye industry wanalifahamu hili in advance au wanatakiwa kufahamu!
 
Back
Top Bottom