Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

Je ameimba kwenye jukwaa gani...!! School Bush au eatv awards
 
Maelezo yako yana uhusiano na nilichoandika mimi? Kama unatafuta ligi za nani bora, sina time nayo; nilichofanya mimi ni kuweka kumbukumbu sawa... una lina lingine?
OK kausha kila MTU anajua media gani inamashiko kwake
 
Darasa alipiga zinga la show EATV AWARDS
 
Back
Top Bottom