Darasa Punguza ulevi

Darassa CMG show ya kahama alilamba milioni 4 na laki tano, sasa kwa hizo charge sijui atafika wapi, show ya moshi kalamba milioni nne, ifikie hatua thamani yake ipande kama alivyoshauriwa na Brother ndege wa jembe ni jembe.
 
pia kuna clip niliona pale EATV kwenye e-news baada ya kupata ajali alitoka salama kuna maneno aliongea sasa leo nimepata picha huenda alikuwa amelewa nasijui ni nani alikuwa anaendesha?
Mashabiki tuna tatizo lakuto wambia ukweli wasanii wetu halafu mwisho wa siku wanaishia pabaya..
Darasa anaonekana kabisa ana kunywa sana na bila shaka kwa mwendo huu anaweza asifaidike na muziki wake kama hatobadilika.
Darasa ni lazima aache ulofa
 
Dreva alieitoa gari pale kahama alikua hanscana, walivofika mbele kidogo akaomba alale kwani usingizi ulimzidia then darassa akachukua usukani hadi wanapata ajali alikua darassa ndio dreva.
 
Dreva alieitoa gari pale kahama alikua hanscana, walivofika mbele kidogo akaomba alale kwani usingizi ulimzidia then darassa akachukua usukani hadi wanapata ajali alikua darassa ndio dreva.
aiseee ,,,,,,,,,,,,,
 
Kuumbeeee
 
Darasa popote ulipo...kama yasemwayo juu yabulevi ni ya kweli basi acha mara moja.
Pia kama yasemwayo hahaha ukweli wowote...basi kuwa makini ufike kuandika na kuwa mlevi....utauwa kipaji na kazi yake nzuri.
Is mwisho....wewe darasa sahivi all mzanii wa mil 4. ..wewe ni wa 10mil na kuendelea.
 
Mwacheni anywe, kwani nani asiejua utamu wa bia baridi?
 
Hii ngoma yake tamu saana....
Kwelia tamaa kukata ni mwiko...
Pia yaonekana na Ben Pol kitambo wapo wote

Nyimbo ya hii na muziki..zote ziko poa na zote kwenye chorus amekimbiza ben pol.
-kuna nyingine inaitwa nishike mkono, ndio nyimbo ya darasa ninayoikubali mimi kuliko zote
Dah kweli uzuri wa mziki upo kwa msikilizaja,,, nimeoma mona g ametia mkono wake hapo ktk huo wimbo wa nishike mkono.

Ila Darasa naona mara ya pili anamtaja jamaa anaeozea segerea anamaanisha jamaa yake a!?
 
Darasa anajua sana mkuu.
Limtokalo mtu mdomoni basi ndilo lililopo moyoni
 
Darasa movements zake zipo ki twety percent sana wala huhitaji degree kuona...na akiichezea hii nafasi anayopitia sasa hivi sijui atamlaumu nani.

Yupo kwenye peak, na huu ndio wakati wa kutengeneza hata milioni mia tano...lakini utashangaa yanamshinda kama yalivyomshinda kina Haruna Moshi (Boban) very talented ila nidhamu zero.

Wanaomzunguka wasipomsaidia tunamsahau soon...talent bila nidhamu ni bure tu.
 
Mwacheni anywe, kwani nani asiejua utamu wa bia baridi?
Tena ambayo hata lile Chui badala ya kuimba happy birthday anaimba 'nipe bia ninywe'

Ila Darasa atakuwa anapiga 'perfect combo' ya biere na cha A town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…