Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
hebu weka picha nimuoneNilijibishiagaaaa!
kila ninavozidi kumtizama simwelewi!
kila ninavocheck alivyo nakosa tu pozi la kuendelea kubisha!
nimebaki kujiumwia tu ndani kwa ndani!
I looove that mtu jamani! mwe!
naomba tu iwe ni stress isiwe ninachokiona!