Darasa Punguza ulevi

Yani nashangaa hadi sasa eti darasa ana kubali show ya elfu kumi.
 
Tena ambayo hata lile Chui badala ya kuimba happy birthday anaimba 'nipe bia ninywe'

Ila Darasa atakuwa anapiga 'perfect combo' ya biere na cha A town.
hahahahahaha
 
Ulev wake hautuathiri mafans wake zaid tunackilza ujumbe wake.
 
Natumaini jamaa anausoma huu ushauri wa kumjenga kama ni kweli ilitokea hivyo. Ni vyema kukosolewa ili kujirekebisha.
Unakunywa kinywaji kupitiliza halafu u-perform jukwaani, what do you expect??????
 
Yani nashangaa hadi sasa eti darasa ana kubali show ya million kumi.
Mbona naona hapo juu wanasema analipwa 4m...ila mimi naiona hatari kwa tuhuma kama hizi ni nani atakubali kumlipa hiyo milioni kumi au zaidi ili hali hakuna uhakika wa kupata thamani ya hiyo pesa jukwaani?

Watu wata prefer kucheza Muziki wake kutoka kwenye CD na Mashabiki waimbe kama Karaoke, wataburudika zaidi kuliko kuishia kuwaudhi Mashabiki pale atakapopanda jukwaani hajiwezi.
 
You were all great together untill some of you decided to depart the group, sad.... Anyways this was a
nice
 
Nashangaa wenzie waliweza kumuongaza vyema kwenye show ya EATV awards na aliperfom vizuri sana hadi watu walifurahi na aliwai mapema sana.... sasa sijui kimempata nini?
 
Kaja lini huko..? Si aliambiwa na Madokta wa muhimbili apumzike asifanye shoo kutokana na Ajali aliyopata
Weka picha Uisapoti Stori yako otherwise Umetumwa kuchafua watu
Ni kweli Darassa alikua na show Moshi jana (alhamisi) ila hicho cha kulewa tila lila kama ni kweli muda bado anao wakujirekebisha.
 
Duuuu ndio maana mnaonekana haters hivi hivi.

Aliesema hawatuwezi ni yule jamaa Alieweka dawa kichwani....ni producer Abba ambae ndio Dj wake pia.

Usimlishe maneno kisa umpendi au kwa sababu nyingine binafsi...Darassa maneno mazuri mno kuwa huwezi kushindana na Mungu wako na hakusema hayo maneno unayotaka kumlisha.
 
Umenikumbusha enzi zile Afande Sele alipotangazwa Mfalme wa Rhymes, jamaa siku anaingia Moro alikuwa kavuta mpaka soo. Usanii unawapoteza wengi kipindi wanapowika..ni wakati ambao ni rahisi kwa msanii kupotea au kuboreka zaidi kutegemeana na busara iliyopo kwa wakati huo.
 
Darassa CMG show ya kahama alilamba milioni 4 na laki tano, sasa kwa hizo charge sijui atafika wapi, show ya moshi kalamba milioni nne, ifikie hatua thamani yake ipande kama alivyoshauriwa na Brother ndege wa jembe ni jembe.
Jembe fm mwisho wake ni mwz mjini,,ungesema ndege amempa ushauri gani mkuu.
 
Yawezekana nikweli, maana hata usiku wakuamkia siku anapata akali, huo usiku jamaa alikuwa tungi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…