Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Mhhhh, unataka kunambia bila promo ya Clouds, hyo ngoma isingefika hapo ilipofika?? nakataliana na wewe bro, ile ngoma inauza yenyewe tu maana ni shida ya mji, sema jamaa inabidi akaze Zaidi ili asichane msamba
Watu huwa wanadhani ni clouds ndio wanawapa promo tu wasanii, ni tatizo kubwa sana maana wimbo wa darasa lazima uuzike maana jamaa anajua mpaka raha japo tunaemfaham ameswitch muziki wake
 
Darasa ni sikio la kufa na hana uwezo wa kukaa juu muda mrefu.
Msanii ana wimbo mkubwa lakini hana management.
Huu wimbo umekuwa mkubwa kumzidi na utamuangusha.
Anamanagement mkuu, sema hainanguvu kama wasanii wengine wakubwa, management yake inaitwa CMG
 
Darasa ni msanii wa muda mrefu sana, sema muanzisha uzi, umeanza kumfiatilia siku hizi ananyimbo nyingi sana kama sikati taa,sio mbaya, hahe hahe, kipindi hicho yupo am records, alivyohamia kwa mrttouch ndio akaswitch, kumbuka kuna muda utafika nyota inang'ara na unaanza kula matunda ya kazi yako basi ndio muda wake huu
 
Jambo la msingi kwake ni kutokubali kujazwa upepo na WCB haters...
Afanye muziki WAKE...
Asije akajitumbukiza kwenye LIGI ambayo itagawa mashabiki wake..!
WCB haters????? Wkt team kiba darasa kawa poozeo lao.... toka atoe mziki wakaanza kumlinginisha na diamond ....wakadai kwamba darasa ni bora kuliko mond.....??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…