Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
funga mkanda, kaza na kamba.Unataka kukimbia na huna brekiiii ..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
funga mkanda, kaza na kamba.Unataka kukimbia na huna brekiiii ..........
Haaaaa jamaa noma sanafunga mkanda, kaza na kamba.
Wacha maneno weka muziki.Haaaaa jamaa noma sana
Watu huwa wanadhani ni clouds ndio wanawapa promo tu wasanii, ni tatizo kubwa sana maana wimbo wa darasa lazima uuzike maana jamaa anajua mpaka raha japo tunaemfaham ameswitch muziki wakeMhhhh, unataka kunambia bila promo ya Clouds, hyo ngoma isingefika hapo ilipofika?? nakataliana na wewe bro, ile ngoma inauza yenyewe tu maana ni shida ya mji, sema jamaa inabidi akaze Zaidi ili asichane msamba
Anamanagement mkuu, sema hainanguvu kama wasanii wengine wakubwa, management yake inaitwa CMGDarasa ni sikio la kufa na hana uwezo wa kukaa juu muda mrefu.
Msanii ana wimbo mkubwa lakini hana management.
Huu wimbo umekuwa mkubwa kumzidi na utamuangusha.
Sinzia na fegi uchome kibanda.....Sisi tuko macho mida ya wanga.
Sio simba sio chui sio mamba haaaaaah...Darasa ni sikio la kufa na hana uwezo wa kukaa juu muda mrefu.
Msanii ana wimbo mkubwa lakini hana management.
Huu wimbo umekuwa mkubwa kumzidi na utamuangusha.
Ngozi yake inatosha kujigamba.Sio simba sio chui sio mamba haaaaaah...
Sisi tuko macho mida ya wanga.
tutajie meneja mmoja kwenye iyo CMGAnamanagement mkuu, sema hainanguvu kama wasanii wengine wakubwa, management yake inaitwa CMG
tutajie meneja mmoja tu kwenye CMGAnamanagement mkuu, sema hainanguvu kama wasanii wengine wakubwa, management yake inaitwa CMG
Funga mkanda, kaza na kamba.Wataka kukimbia na huna Break.!!
Kumuelimisha chizi utajipa kazi .......wat do u expect??
as i told ya now we don stop we don stopWanatamani tupotee kwenye map, tunapeleka gemu to the top top.
WCB haters????? Wkt team kiba darasa kawa poozeo lao.... toka atoe mziki wakaanza kumlinginisha na diamond ....wakadai kwamba darasa ni bora kuliko mond.....??Jambo la msingi kwake ni kutokubali kujazwa upepo na WCB haters...
Afanye muziki WAKE...
Asije akajitumbukiza kwenye LIGI ambayo itagawa mashabiki wake..!
Tunasemaga chambua kama karanga uwiiiiiiifunga mkanda, kaza na kamba.