Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Bora darasa tumechoka kubaniwa pua na maisha ya mapenzi na maigizo...ndio maana watanzania wameipokea kiurahis hii nyimbo inaelezea real life.....
 
Uko sahihi. Hii too much nimewahi kuisikia ila zaidi ya 'too much' sijui maneno mengine. Pia nishike mkono nimeshawahi kuusikia ila sikujua kwa nini sikumjua mhusika. Ni kweli jamaa mkali
 
Endelea Kujidanganya Kuna Wasanii Wa Kutengenezwa Na Ndio Maana Hata Clouds Wana Uwezo Wa Kutengeneza Msanii Yeyote

- Walimtengeneza Ruby ( Ingawa Anajua Kuimba ) Alivyowazingua Fasta Wakamtengeneza Nandy

- Hata Mc Pilipili Ni Comedian Wa Kuchonga
Humjui Darasa ,jamaa anapambana tangu nishike mkono na nyimbo zake zilikuwa Kali sema hii ni super hit Muziki imekuja wakati Too much imefanya vizuri
 
Umenena sawia kabisa mkuu
 
Mtoa mada kama anahate hiviiii sasaa ili Kuonyesha huu ndo wimbo bora wa mwaka...em wadau tutiririke lyrics mwanzo mwisho me naaanzaa.....
Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni...........
 
Kuwa namba moja kwa muda haishindikani
Ila
Kuwa namba moja milele haiwezekani
 
Fact:
Sio kwamba atashuka... Ila mashabiki tutaona kama sio kali kiviile
Why?:
Expectations. Tunasubiri kwa hamu kupita kiasi, hadi tumesha-imagine every possible thing he could do. Simple psychology.
Strategy:
He has to surprise us. Like he did with muziki

Put aside ushabiki. Tumsupport with anything he will come up with...
 
Mtoa mada kama anahate hiviiii sasaa ili Kuonyesha huu ndo wimbo bora wa mwaka...em wadau tutiririke lyrics mwanzo mwisho me naaanzaa.....
Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni...........
Namchukiaje Mtu Sikuwahi Kumfahamu? Acha Kusinzia Na Fegi Dogo
 
Darasa ni sikio la kufa na hana uwezo wa kukaa juu muda mrefu.
Msanii ana wimbo mkubwa lakini hana management.
Huu wimbo umekuwa mkubwa kumzidi na utamuangusha.

Kwa mala ya kwanza nakuunga mkono Darasa ana usela mwingi ajui hiyo ni kazi kama kazi zingine management ni msela wake Hascana john makini anakwambia mziki unapesa pale unapoingia pesa nyingi ziko mwisho utozifikia
 
255
Mtoa mada kama anahate hiviiii sasaa ili Kuonyesha huu ndo wimbo bora wa mwaka...em wadau tutiririke lyrics mwanzo mwisho me naaanzaa.....
Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni...........
255 champion boy niite Mbwana Samatta haaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…