Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu darasa yuko juu siku zote, wewe ndio haumfuatilii kama mpenda muziki
sikati tamaa darasa na benpol
hapo hakuna wimbo wa kitoto hata mmoja, ila wengie hawazisikilizi wanawaza mond na kiba tu
Yuko juu siku zote, hana presha kukaa hapo
ona, sikiliza hizo kisha utaamini kuwa wengi hawamjui
Too much mbona nayo imesumbua sana?
Humjui Darasa ,jamaa anapambana tangu nishike mkono na nyimbo zake zilikuwa Kali sema hii ni super hit Muziki imekuja wakati Too much imefanya vizuriEndelea Kujidanganya Kuna Wasanii Wa Kutengenezwa Na Ndio Maana Hata Clouds Wana Uwezo Wa Kutengeneza Msanii Yeyote
- Walimtengeneza Ruby ( Ingawa Anajua Kuimba ) Alivyowazingua Fasta Wakamtengeneza Nandy
- Hata Mc Pilipili Ni Comedian Wa Kuchonga
Umenena sawia kabisa mkuuDarasa ni msanii wa muda mrefu sana, sema muanzisha uzi, umeanza kumfiatilia siku hizi ananyimbo nyingi sana kama sikati taa,sio mbaya, hahe hahe, kipindi hicho yupo am records, alivyohamia kwa mrttouch ndio akaswitch, kumbuka kuna muda utafika nyota inang'ara na unaanza kula matunda ya kazi yako basi ndio muda wake huu
Hivi si kuna anayejiita Simba mwenye maneno ya kwenye kanga au?Sio Simba Sio Chui sio Mamba ... haaaaaaaaaaaa!!!!,
What do you expectiiii.....Unataka kukimbia na huna brekiiii ..........
Maisha yetu ya kila siku kama vile muvi...Huna mchuzi no excuse.
Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku'makee...Bongo, Congo au Kwa Tabombeki???
Mzuka wa kuruka reggae kwenye bluesss...Watch yourself usije ukajiconfuse
Namchukiaje Mtu Sikuwahi Kumfahamu? Acha Kusinzia Na Fegi DogoMtoa mada kama anahate hiviiii sasaa ili Kuonyesha huu ndo wimbo bora wa mwaka...em wadau tutiririke lyrics mwanzo mwisho me naaanzaa.....
Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni...........
Anaeota mapembe mwongezee mkia...Namchukiaje Mtu Sikuwahi Kumfahamu? Acha Kusinzia Na Fegi Dogo
Watch ya self usije ukaji confuse....Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku'makee...
Darasa ni sikio la kufa na hana uwezo wa kukaa juu muda mrefu.
Msanii ana wimbo mkubwa lakini hana management.
Huu wimbo umekuwa mkubwa kumzidi na utamuangusha.
What do you expect ...!?Unataka kukimbia na huna brekiiii ..........
255 champion boy niite Mbwana Samatta haaaah!Mtoa mada kama anahate hiviiii sasaa ili Kuonyesha huu ndo wimbo bora wa mwaka...em wadau tutiririke lyrics mwanzo mwisho me naaanzaa.....
Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni...........
Maneno ya kwenye kanga hayawezi mshinda...kaz juu ya kaz yani bumper to bumperKama darasa anatakaa akae kwenye chati Tsimshian danish na Diamond,hatofika mbali.