Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Kizuri siku zote hujiuza tu,hata kama kitafanyiwa promo vipi,kibay kibaya tu.
Endelea Kujidanganya Kuna Wasanii Wa Kutengenezwa Na Ndio Maana Hata Clouds Wana Uwezo Wa Kutengeneza Msanii Yeyote

- Walimtengeneza Ruby ( Ingawa Anajua Kuimba ) Alivyowazingua Fasta Wakamtengeneza Nandy

- Hata Mc Pilipili Ni Comedian Wa Kuchonga
 
Habari yako mkuu..!

Kiukweli hata mimi ninampa pongezi sana Darasa, ameonesha uwezo mkubwa sana. Hilo limejithibitisha wazi kabisa hata mitaani kwetu, kila kona hiyo ngoma inachezwa, hata hapa ninatype nikiwa naisikia kwa earphones.

Mi kwa jinsi nilivyokuelewa hauna maana mbaya!
Ulichokisema hata mimi nimeshawahi kukihofia, KUDUMU KATIKA UBORA WAKO KWA MUDA MREFU ( CONSISTENCE )
Hilo jambo ni changamoto kwa wasanii wengi sana.

Ila tumtakie mafanikio katika kazi yake, hilo ndio jambo la msingi. Mafinikio yake ni jambo la kufurahia na sio vinginevyo.
 
Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,

- Fiesta

- Salama Kondom

- After Skul Bash

Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana.
Ni kweli na kama anaupenda muziki wake atafute link nje ili asiwe mtumwa.
 
Jamaa alijitahidi kupambana maana alishawahi kufanya show Gongo la mboto kwa hela ya via.
 
Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,

- Fiesta

- Salama Kondom

- After Skul Bash

Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana.
Hiyo ngoma imetoka baada ya fiesta........radio nyingi tu mbona zilikuwa zinapiga? Ngoma ikiwa mzuri hata madj na presenters watalazimika kuipiga tu....binafsi siku ya kwanza kutoka niliisikia jioni east Africa radio na darasa hajawahi kutoa ngoma mbovu ila hii ilikuwa timing ya bifu ya dimpo na mond ikaipaisha zaidii
 
Usipotembea utabebwa mgongoni.......


Endeleeni kuomba mabaya tu
 
Back
Top Bottom