Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Darasa ni sikio la kufa na hana uwezo wa kukaa juu muda mrefu.
Msanii ana wimbo mkubwa lakini hana management.
Huu wimbo umekuwa mkubwa kumzidi na utamuangusha.
hizi ndio akili na maombi ya watz
always we think negatively
 
Atoe ukali mwingine.....

Kabanga Darrasa mkali Toka zamani angalia YouTube.Video yake "too much" Halafu yeye Na mr Blue Na ingine Nay wa Manzese (mitego)
Darasa video zake nyingi wako watoto wa KiTanzania ambao sio rangi rangi Au wale 50% Wazungu
 
Darasa ni msanii wa muda mrefu sana, sema muanzisha uzi, umeanza kumfiatilia siku hizi ananyimbo nyingi sana kama sikati taa,sio mbaya, hahe hahe, kipindi hicho yupo am records, alivyohamia kwa mrttouch ndio akaswitch, kumbuka kuna muda utafika nyota inang'ara na unaanza kula matunda ya kazi yako basi ndio muda wake huu

Umenena vyema mkuu. Binafsi ngoma za darassa nnazozifahamu ni sikati tamaa, nishike mkono, hahe hahe ft blue, sio mbaya, komaa remix, kama utanipenda, too much and finally muziki. Ila binafsi nauona sikati tamaa kama nyimbo bora kabisa iliyowahi kuandikwa na darassa,na ndiyo ilifanya nimfahamu jamaa. baada ya kuswitch ndo zikaja kama utanipenda, too much na hatimaye muziki, ambazo zote ni hit songs. Kwa wanaomfahamu vizuri jamaa wanajua kua mziki anaujua kitambo, na naamini haitampa shida kumaintain alipo sasa. Inshort jamaa alikua anaudai mziki, na ilikua ni suala la mda tu kabla mziki haujaanza kumlipa.
 
wimbo wa hovyo kabisa, sema wengi mnastress nchini

Dreamboy watu wamechoka Na blah blah panga poi,maisha magumu,pesa haizinguki weka muziki tucheze,nchi ngumu, sijui wa viwanda Au Ruanda hatutaki maneno ya kanga
 
Umenena vyema mkuu. Binafsi ngoma za darassa nnazozifahamu ni sikati tamaa, nishike mkono, hahe hahe ft blue, sio mbaya, komaa remix, kama utanipenda, too much and finally muziki. Ila binafsi nauona sikati tamaa kama nyimbo bora kabisa iliyowahi kuandikwa na darassa,na ndiyo ilifanya nimfahamu jamaa. baada ya kuswitch ndo zikaja kama utanipenda, too much na hatimaye muziki, ambazo zote ni hit songs. Kwa wanaomfahamu vizuri jamaa wanajua kua mziki anaujua kitambo, na naamini haitampa shida kumaintain alipo sasa. Inshort jamaa alikua anaudai mziki, na ilikua ni suala la mda tu kabla mziki haujaanza kumlipa.
Ni kweli, ila kumbuka kwamba alikuwa bado hajafika kwenye peak, sasa ndio yupo kwenye peak, mara nyingi ukiwa kwenye level hizo ndio inakuwa kazi kubwa kumaintain maana wasanii wengi wanatabia ya kujisahau na kuridhika. Mfano mzuri ni 20% alitoa ngoma nyingi kali ila raia walimpuuza, alipotoa tamaa mbaya karibu kila mtanzania alimuelewa, lakini baada ya hapo hakuna alichofanya. Je unadhani kipaji kiliisha? La Hasha, ndio hivyo wasanii wengi wanajisahau wanapokuwa peak. Ndio maana Darasa anatakiwa awe na management makini ili aendelee kuwa pale, hata Diamond asingekuwa na management nadhani tungekuwa tushamsahau
 
Darasa ni sikio la kufa na hana uwezo wa kukaa juu muda mrefu.
Msanii ana wimbo mkubwa lakini hana management.
Huu wimbo umekuwa mkubwa kumzidi na utamuangusha.
Ni kweli...ana kazi kubwa kuja kuvunja hii rekodi...
Yalishawakuta akina
Pig Black-Nini mnataka
Mo music-Nenda kwa uchache
 
Ni kweli, ila kumbuka kwamba alikuwa bado hajafika kwenye peak, sasa ndio yupo kwenye peak, mara nyingi ukiwa kwenye level hizo ndio inakuwa kazi kubwa kumaintain maana wasanii wengi wanatabia ya kujisahau na kuridhika. Mfano mzuri ni 20% alitoa ngoma nyingi kali ila raia walimpuuza, alipotoa tamaa mbaya karibu kila mtanzania alimuelewa, lakini baada ya hapo hakuna alichofanya. Je unadhani kipaji kiliisha? La Hasha, ndio hivyo wasanii wengi wanajisahau wanapokuwa peak. Ndio maana Darasa anatakiwa awe na management makini ili aendelee kuwa pale, hata Diamond asingekuwa na management nadhani tungekuwa tushamsahau
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Ngoja tusubiri tuone, time will tell
 
darasa ameshakua juu, muhimu kupata management nzur ili aendelee kusimama.. japo Ni kaz San kutengeneza hit kma ya muzik tena.. ashakua juu na tumuombee akaze but bdl ya kulewa sifaaa. asije akafuata njia ya chid so..
 
Sijui wale mademu wenye mishepu kwenye video zake sijui anawatoaga wapi darassa
 
Mi nadhani darasa ni mwandishi mzuri sana na kiukweli nyimbo kama Sikati tamaa au Nishike mkono zina ujumbe mzito kuliko hii iliyovuma kupita zote.. Kikubwa atambue wabongo wanapenda nyimbo za kuchezekachezeka zaidi kuliko mashairi yenye ujumbe conscious hivyo anaweza kukaa juu ili mradi aandike nyimbo zenye sample kama ya MUZIKI
 
Asiache kuchomekea hizo za mafunzo
 
Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,

- Fiesta

- Salama Kondom

- After Skul Bash

Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana.
Acha uongo hiyo ngoma imejipromoti yenyewe,wengi tumeijulia mitandaoni na sio redion, "mwenye mapembe muongezee mkia" au unao tayali?
 
Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,

- Fiesta

- Salama Kondom

- After Skul Bash

Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana.

Mkuu nenda YouTube darassa Na Ben pol walicolabo sikunyingi tu.Pamoja ha Hayo yote
Nani hajabebwa hapa duniani?Mafanikio ya wengi wetu yanapitia migongo ya watu ndio maanavyuo vikuu duniani walianzisha "taaluma ya masoko" sababu inalipa.
 
Huyu jamaa kiukweli nilikuwa nasikia tu jina lake na ni msanii wa rap ila kama ingetokea tukapishana wala simjui kama ambavyo hanijui. Hata ungeniambia kaimba wimbo upi ningeshindwa kukutajia. Nawafahamu kina Godzilla, FA, Fid Q, etc. Sasa kama ilivyo kwa wengine naona nyota ya Jaha imemdondokea huyu msanii. Niliufahamu wimbo kupitia ile clip ya wale jamaa waliopagawa hadi kuachia usukani. Baada ya hapo nikaanza kumsikia kwenye vyombo vya habari. Nikasiliza na wimbo wake ila bado sikuona kipya.

Sasa ikawa kila nakopita nausikia huu wimbo. Boda boda, redio na tv, kwenye biashara za watu. kwenye simu za watu, n.k. Kiukweli nami taratibu nikaona unaanza kuniteka. Nikaupenda. Umekuwa wimbo wa taifa. nilipita duka moja kuna jamaa alikuwa kauweka huu wimbo na unajirudia rudia. Kwa muda niliopita pale ni kuwa ulishajirudia kama mara kumi hivi.

sasa baada ya kipindi hiki cha mpito we jamaa utafanyaje ukae hapo juu? Kwa sasa usichekelee sana. Anza kujiuliza utafanya nini? Kama ni matatizo basi ndio hayo umejitakia. Jipange tena

mkuu darasa yuko juu siku zote, wewe ndio haumfuatilii kama mpenda muziki

sikati tamaa darasa na benpol

hapo hakuna wimbo wa kitoto hata mmoja, ila wengie hawazisikilizi wanawaza mond na kiba tu

Yuko juu siku zote, hana presha kukaa hapo

ona, sikiliza hizo kisha utaamini kuwa wengi hawamjui

Too much mbona nayo imesumbua sana?
 
Kama kipaji kipo kipo tu atagonga hiy song zz kutosha tu ila kama ilikuwa zali ka mentali basi atakwama..

Ingawa promo ikipigwa vizuri hata kama nyimbo ni mbaya inaweza pendwa tu na wasikilizaji

soma post hapo juu, wengi mmemjua darasa wa muziki huu "muziki" hajaanza leo na hana muziki wa kitoto

mpaka unalaani yaani, mbongo halisi
 
Back
Top Bottom