Darasa vs Harmorapa; Tuweke ushabiki pembeni

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa)

Karibuni kwa maoni
 
Kiboko ya mabishoo ametoa warning kwa wasanii wote watoe single zao harakaharaka muda huu kwasababu akiachia yake itazifuta nyimbo zao zote kwenye masikio ya mashabiki.
 
Nilitaka kusema hujielewi ila nimeheshimu mawazo yako.
Darasa mkali asee...
 
Acha kufananisha HARMO RAPPER na WABAHATISHAJI kwenye game la muziki
 
Nani mkali kati ya hawa wawili, msanii chipukizi ( Harmorapa) na msanii mzoefu kwenye gemu LA muziki ( Darasa)

Karibuni kwa maoni
oya mkuu mbona umemsakama darasa Leo Mara kaiba beat huyo dogo mwenyew alichoimba hakieleweki
 
Acha kutafuta umaarufu kupitia Darasa bibie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…