Darasani

Darasani

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*MWALIMU* angaiko mbona Leo unawaza sana darasani? [emoji18][emoji18]

*angaiko* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali

*MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani?

*angaiko* ndio MWALIMU

_angaiko akaenda nyumbani, na MWALIMU akawauliza wanafunzi wenzie_

*MWALIMU* kwanini baba Yake angaiko yupo polisi na mama yake yupo hospitali?

*wanafunzi* kwasababu baba yake ni polisi na mama yake ni nesi

*MWALIMU* pumbavu sana huyu mtoto! Mwiteni arudi
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]

*RS*
 
Ahahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] angaiko fund
 
Huhuhu

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Back
Top Bottom