Darassa afunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake...sio simba sio chui sio mamba

Darassa afunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake...sio simba sio chui sio mamba

Mimi nadhani music lazima umguse mtu mmoja au mwingine kwa namna moja au nyingine iwe kwakuelemisha au kuburudisha , hiyo ndio dhamira ya music aina zote duniani, hata music wa diamon (salome) utakuwa unamgusa mtu fulani kwa namna yoyote, hivyo basi wimbo wa Darassa kama unamgusa diamond kwa namna moja au nyingine binafsi sioni ajabu kwani diamond ni nani hadi asiguswe na waimbaji wenzake katika mashairi yao…?
Nani aliesema diamond haguswi na nyimbo za wenzie? wengine humu mna comment bila hata kusikiliza kilichosema na mwenyewe darasa, msikilizeni mwenyewe ndo mpate cha kuongea, na wewe ulieleta uzi ulipaswa kuachia watu wa sikiliza sio kuweka bla bla zako
 
Naamini kabisa hizi zooote ni njia za kumtafutia Diamond mshindani wake halisi ndiyo maana wasanii wengi wanalishwa maneno
 
Simba mtambadilishia sana washindani... Mlianza na Kiba ni K, lakini sasa mnaangalia wimbo gani unapendwa then mnamgeuza kuwa mshindani wa Diamod
 
Màshabiki ni watu wabaya sana, ndo mana vita ya PAC na big ilikua kubwa ,darasa n msanii wakawaida sana na uwaga anatoa nyimbo moja mwaka unapta then anatupia mwingine awez kushindana na mond au kiba na ASA mond
 
Msanii Darassa amefunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake ambapo kuna mashairi yanayosema 'sio simba sio chui sio mamba' na kudai mashairi hayo hayamuhusu Diamond ila watu wameelewa vibaya
Pia ameongezea diamond hakustahili kujiita simba kwa kuwa simba anaweza kuuwawa na wanakijiji lakini yeye hawezi kuuwawa kirahisi kama simba

Wanyama wa simba chui na mamba ndio wanyama wakali wanaoogopwa lakini yeye amesema ana kitu kingine kikubwa cha kuogopwa kuliko wanyama hao

Huyu nae analewa haraka . Kajimbo kamoja tu kamemvimbisha kicwa! Halafu hajielwi kuwa anamtumia huyohuyo kupanda chati fere huo wimbo wake kaweka Chambua kama karanga. Mabifu hayajengi. Anaonyesha ni mmoja aliyekuwa anamchukia Diamond tena bila sababu yoyote . Yeye akazane tu na kuimba ili atoke badala ya kuanzisha mabifu yasiyo na tija!
 
Back
Top Bottom