Darassa afunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake...sio simba sio chui sio mamba

Nani aliesema diamond haguswi na nyimbo za wenzie? wengine humu mna comment bila hata kusikiliza kilichosema na mwenyewe darasa, msikilizeni mwenyewe ndo mpate cha kuongea, na wewe ulieleta uzi ulipaswa kuachia watu wa sikiliza sio kuweka bla bla zako
 
Naamini kabisa hizi zooote ni njia za kumtafutia Diamond mshindani wake halisi ndiyo maana wasanii wengi wanalishwa maneno
 
Simba mtambadilishia sana washindani... Mlianza na Kiba ni K, lakini sasa mnaangalia wimbo gani unapendwa then mnamgeuza kuwa mshindani wa Diamod
 
Màshabiki ni watu wabaya sana, ndo mana vita ya PAC na big ilikua kubwa ,darasa n msanii wakawaida sana na uwaga anatoa nyimbo moja mwaka unapta then anatupia mwingine awez kushindana na mond au kiba na ASA mond
 
Huyu nae analewa haraka . Kajimbo kamoja tu kamemvimbisha kicwa! Halafu hajielwi kuwa anamtumia huyohuyo kupanda chati fere huo wimbo wake kaweka Chambua kama karanga. Mabifu hayajengi. Anaonyesha ni mmoja aliyekuwa anamchukia Diamond tena bila sababu yoyote . Yeye akazane tu na kuimba ili atoke badala ya kuanzisha mabifu yasiyo na tija!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…