Darassa, Diamond wanarushiana maneno kimtindo

Darassa, Diamond wanarushiana maneno kimtindo

mleta uzi unastahili kunyongwa, unalazimisha watu wana bifu wakati hakuna kitu kati yao.
 
nmechoka kusoma! aaaagh
[emoji51] em hizi akili tuzitumie kufanya ya msingi
.....

huu uchambuzi usio na malipo hauna maana.
 
dada muanzisha thread utakuwa umetumwa na ali kibakuli kuanzisha thread uchwara
 
Watanzania wapumbavu sana. Sasa umekaaa ukawazaaa ukaona uandike takataka hizi. Unalipwa??
Mnatia hasira sana. Ningekutukana ila basi tu naeza kujikuta nafanana na wewe.
Ulimsikia darassa mwenyewe juzi EATV?
 
Nimeshindwa kusoma naona uozo upuuzi ujinga ufala na any thing negative ,ushen........na wewe ulietupia mada pumb.....v.......
Akili zako za usiku ndiyo zinafanya utoke povu lote hilo... Elewa vizuri hii ni source na sijaandika mimi!
 
Mmeacha kumjaza kiba mmeamia kwa darasa,mtasababisha kibakuli apotee kwa gem
 
Haya mambo ya kichonganish yameshapitwa na wakat achen dalasa afanye kazi. Kama mleta uzi utaendelea kufuatilia mambo yasiokuhusu kunasiku itatuletea sir za majumban kwa watu ambapo sio kitu kizur. Tufanye kaz tujenge nchi
 
Ingekuwa diamond analipwa kila jina lake likitajwa sijaelewa wangemlipa sh ngap..kila kitu diamond diamond, ila sio mbaya inaonyesha namna gani yuko bien ...long live simbaaaa ..
 
Akili zako za usiku ndiyo zinafanya utoke povu lote hilo... Elewa vizuri hii ni source na sijaandika mimi!
ume copy paste upuuzi na unafurahia upuuzi huu sasa wewe utakua na akili tofauti kweli
 
Dah huo muda wote ni bora hata ungeruka kichurachura upunguze calories mwilini.
 
Darasa might have rapped, but that song isn't a hip-hop one. And if we're to go with the analysis provided in this thread, hip-hop takes aim against hip-hop.
hip hop au sio hip hope is not a problem

akina fid q wameishia kusema wao wakali na kusoma novo tu hawana hela!

mziki ni mazingira wala hauhitaji u radical
 
Global bana kweli nyie ni wadaku

huu ni uozo na upuuzi tu, kugombanisha watu
 
Back
Top Bottom