Darassa: Nyimbo zangu za ujumbe zilibuma

Acha kufananisha kajiandae na vitu vya kijinga.
Ivi kajiandae nao wimbo? ulitafutiwa promo ya kulazimisha lkn wapi. naenda club karibia kila wekeend lkn sijawahi skiainapigwa Club yoyote ile.
 
Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Nifah nae kaamua kutumia fulsa,maana UKIANZISHA THREAD AU UKIKOMENTI DONGO DHIDI YA MOND NI LAZIMA UTAPATA LIKES NYINGI NA WATAKU QUOTE WENGI. Hongera kwa kucheza na fulsa, celeb forum 75% ni HABARI ZA DIAMOND.
 
Diamond, alikibaki, darasa na wengineo wote ni wasanii wa Tanzania ya mjomba Magu, tuwaunge mkono kwenye kazi zao bila kinyongo, team team za ushindani tupa kule far east.
 
Nifah nae kaamua kutumia fulsa,maana UKIANZISHA THREAD AU UKIKOMENTI DONGO DHIDI YA MOND NI LAZIMA UTAPATA LIKES NYINGI NA WATAKU QUOTE WENGI. Hongera kwa kucheza na fulsa, celeb forum 75% ni HABARI ZA DIAMOND.
FULSA=FURSA
 
Likes & quotes kwangu sio issue my dear.Popote ninapocomment zinatiririka,hizi habari za Mondi nacomment kuwachokoza tu.

Kwani nimeanza leo?C'mon...
 
Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
unataka vita na watu mdogo wangu.....kweli jamaa anawika nadhan waliotoa nyimbo wameziweka kapuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…