wynejosee
Senior Member
- Jan 28, 2014
- 148
- 59
Kokoro tupa kule ni takataka ileee kitu na life span yake ni fupi mno.....Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kokoro tupa kule ni takataka ileee kitu na life span yake ni fupi mno.....Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
vipi kuhusu kajiandae......? [i risk to be abused]Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Kajiandae imefia wapi?Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Una hela au unasubili uhongwe na wewe ukahonge?kaogee hennesy popote ulipo nakuja lipa mimi
Acha kufananisha kajiandae na vitu vya kijinga.Kajiandae imefia wapi?
Ivi kajiandae nao wimbo? ulitafutiwa promo ya kulazimisha lkn wapi. naenda club karibia kila wekeend lkn sijawahi skiainapigwa Club yoyote ile.Acha kufananisha kajiandae na vitu vya kijinga.
Nifah nae kaamua kutumia fulsa,maana UKIANZISHA THREAD AU UKIKOMENTI DONGO DHIDI YA MOND NI LAZIMA UTAPATA LIKES NYINGI NA WATAKU QUOTE WENGI. Hongera kwa kucheza na fulsa, celeb forum 75% ni HABARI ZA DIAMOND.Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Huko mavumbini huwezi usikia, wimbo wa wastaarabu ule.Ivi kajiandae nao wimbo? ulitafutiwa promo ya kulazimisha lkn wapi. naenda club karibia kila wekeend lkn sijawahi skiainapigwa Club yoyote ile.
Basi utakuwa unapigwa mavumbini huo ndio maana huku duniani hausikiki.Huko mavumbini huwezi usikia, wimbo wa wastaarabu ule.
FULSA=FURSANifah nae kaamua kutumia fulsa,maana UKIANZISHA THREAD AU UKIKOMENTI DONGO DHIDI YA MOND NI LAZIMA UTAPATA LIKES NYINGI NA WATAKU QUOTE WENGI. Hongera kwa kucheza na fulsa, celeb forum 75% ni HABARI ZA DIAMOND.
Toka huko ulikojichimbia mdogo wangu, mwisho uote kutu.Basi utakuwa unapigwa mavumbini huo ndio maana huku duniani hausikiki.
teh teh teh haya dadaanguToka huko ulikojichimbia mdogo wangu, mwisho uote kutu.
Nifah nae kaamua kutumia fulsa,maana UKIANZISHA THREAD AU UKIKOMENTI DONGO DHIDI YA MOND NI LAZIMA UTAPATA LIKES NYINGI NA WATAKU QUOTE WENGI. Hongera kwa kucheza na fulsa, celeb forum 75% ni HABARI ZA DIAMOND.
Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Jamani umepotelea wapi wewe chaumbea wangu?Acha umbeya
Mmh bae, sio kwa kupotea hukoHuo wimbo wa "Muziki" ulitoka lini?
[emoji23][emoji23]Huo wimbo wa "Muziki" ulitoka lini?
unataka vita na watu mdogo wangu.....kweli jamaa anawika nadhan waliotoa nyimbo wameziweka kapuniMuziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]