Darassa: Nyimbo zangu za ujumbe zilibuma

Kokoro+Kajiandae Zote chalii habari ya mjini ni muzikii, Nasema Bongo marapper ninawaelewa ni Chemical sambamba CMG Darasaaaa
 
Likes & quotes kwangu sio issue my dear.Popote ninapocomment zinatiririka,hizi habari za Mondi nacomment kuwachokoza tu.

Kwani nimeanza leo?C'mon...
Safi sana kutumia fursa.
 
Hapa ndipo Wasanii Wetu wa Tanzania wanapotakiwa kuanza kuimba nyimbo zenye ladha nyingine siyo kila siku mapenzi tu utafikiri hamna vitu vingine vya kuimba. Darasa has proved you wrong. Wimbo wake siyo wa mapenzi lakini umekuwa talk of the town. Kuddos Darasa
 
Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Vipi kuhusu Aje, kila kukicha mnamlinganisha diamond na wasanii wote wakaifanya vzr!!! Naona mchunga Tembo wenu mshamsahau
 
Nay wa mitegoo!! Nanukuu nipo kimya kwa sasa naangalia nini kinachomiss katika muziki. Nimemuelewa sana mzee wa shika adabu yako.

Sasa wasanii wengine wanafikiri mziki mzuri wa miaka ile ya 2007 walivyokuwa wakitamba basi ndivyo hivyohivyo waendelee kuimba hivyohivyo ili waonekane bado wanatamba kimuziki??!!

Hizo ni ndoto za mchana fanya uchunguzi kama darassa then njoo na single yenye kureflect vitu vilivyomiss katka muziki ndo useme utakalia kiti chako za zaman na sio kwa style hiyo ya muziki mzuri.
 
Aisee, Benny alikuwa pori gani?

Muziki umesababisha mpaka ajali eti yeye ndo anaulizia saa hii.
Haha..Kaka kukimbizana jana ilikua January sasa mwaka unaisha.

Huo wimbo una vibes hatari sikuupata na kumbe
una muda I'm so yesterday Bro
 
Muziki upigwe marufuku utaleta maafa manake ukipigwa lazima ushindwe kujizuia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…