Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Kokoro+Kajiandae Zote chalii habari ya mjini ni muzikii, Nasema Bongo marapper ninawaelewa ni Chemical sambamba CMG Darasaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vyema akawatuliza mashabiki ili wapunguze mzuka!!Mwambie darasa kuna wale madereva walio kamatwa anawasaidiaje
Hahaa team kiba au diamond jamaa anakuja mdogo mdogo mtasimama tu kumsubiri.Huu wimbo ufungiwe maana madereva kidogo wauwe watu
Safi sana kutumia fursa.Likes & quotes kwangu sio issue my dear.Popote ninapocomment zinatiririka,hizi habari za Mondi nacomment kuwachokoza tu.
Kwani nimeanza leo?C'mon...
Vipi kuhusu Aje, kila kukicha mnamlinganisha diamond na wasanii wote wakaifanya vzr!!! Naona mchunga Tembo wenu mshamsahauMuziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante mwalimu wa kiswahili a.k.a msaidizi wa FaizaFoxy
Mmh bae, sio kwa kupotea huko
Just a second .Wishing you were here, baby
UchocheziMuziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Ah ah ah[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji6]Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
Alikuwa occupied kidogoo
Inatakiwa tuwe na kina Diamond wengi sio kumshusha mmoja ili mwingine apande huo ni ujinga!Muziki ndio habari ya mjini,kokoro mwisho tandale [emoji108]
imekufaKajiandae imefia wapi?
Haha..Kaka kukimbizana jana ilikua January sasa mwaka unaisha.
Asante leo umeniruhusuAlikuwa occupied kidogoo