Dare if you can. This is the tallest building in East and Central Africa kissing the sky.

Dare if you can. This is the tallest building in East and Central Africa kissing the sky.

Avic Marriott's 36flrs na lishaa topout wacha kushikwa na orgasm juu ya Hilo gofu fupi
Mnaogopa ku-post gofu hapa safi sana [emoji23] [emoji23] mm nimeonyesha nyumba kamili,kama mnajeuri punch hii
tapatalk_1560019932716.jpeg
 
Sexy!!!
Barabara inakaa ya 1980.
Disorganized
Hyo ni barabara ya zege kwa ajili ya brt lakini huwezi kuelewa maana kenya hakuna kitu kama hicho, pili nenda kajifunze kuandika urudi hapa,hakuna kitu kinaitwa inakaa 1980
 
iko cladding stage, iko kwa hizo six towers hapo, na speed watafanya itakuwa unveilled before hioyenu
Rotana hotel wanafungua Sept Ni miez mitatu imebaki,hamuwez maliza izo nyumba mwaka huu nyie
 
Rotana hotel wanafungua Sept Ni miez mitatu imebaki,hamuwez maliza izo nyumba mwaka huu nyie
Yani rotana iliwaonea, badala ya kujenga jengo lao waliamua watafungua hoteli yao hapo dani?
 
Jifunze kuandika vizur imekaa ndio kitu gani? Pili Ni wivu tu unakusumbua hakuna kingine
Si wivu, that thingy is not appealing to my eyes.
Bora umeelewa what I meant then its okay, imekaa ama wollefa
 
Back
Top Bottom