Hamjamboni wana JF
Ningependa kuwasilisha mada;
Dar es salaam yaani Bongo ina eneo kubwa zaidi ya New York.
Eneo la mraba la dar es salaam ni km za mraba 1590.5 huku ukubwa wa New York ni kilomita za mraba 790.
Huko dar es salam estimation ya population ya dar es salaam ikiwa ni 4,360,000 huko New York ikiwa ni 8,550,405
Kwa hivyo, basi dar es salaam ipo na akiba kubwa ya eneo na haijawa na density kubwa ya watu ukilinganisha na New York.
Uwezekano wa kuuendeleza na kuwa modern city ni mkubwa sana ukilinganisha na New York
Halafu jambo jingine la muhimu kuelewa. Sasa hivi Tanzania ipo na mpango kabambe wa kuhamishia shughuli zote za serikali Dodoma na tayari office ya waziri mkuu imeshahamia.
Sasa basi kuhamia Dodoma kutaifanya Dar es salaam iwe na nafasi kubwa na kubaki mji wa kibiashara Dunia Nzima
Hayo maoni yangu.
Vipi ndugu zangu wa New York mnasemaje?