Daresalaam Ina Eneo Kubwa Kushinda New York

Daresalaam Ina Eneo Kubwa Kushinda New York

Ongeza na london hapoo!!! Hahaa


Uingereza ni ndogo sana, chukua morogoro region na mbeya city utapata jibu
England=130,279 km2(50,301 sq mi)

Morogoro=70,624 km2 (27,268 sq mi)
Mbeya =62,420 km2 (24,100 sq mi)

Total 133,044 km.
Uingereza Total 130,279 km,na bado kuna utofauti wa kilomita 3.044.
 
Back
Top Bottom