Mwanzi1 JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,000 Reaction score 4,589 Nov 15, 2016 #21 MwendaOmo said: Sijui tatizo ni lipi. Nimeleta mada, tafazali tujadiliane. Tusiwe na matusi. Click to expand... Unaleta mada ya uwongo, toka lini mkenya akasema chochote kizuri kwa mwafrika mwingine?
MwendaOmo said: Sijui tatizo ni lipi. Nimeleta mada, tafazali tujadiliane. Tusiwe na matusi. Click to expand... Unaleta mada ya uwongo, toka lini mkenya akasema chochote kizuri kwa mwafrika mwingine?
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,876 Reaction score 2,190 Nov 15, 2016 #22 Depay said: Pwahahaa....My dick is bigger than yours. Click to expand... umeona wapi? be specific
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Nov 16, 2016 #23 1academ said: Ongeza na london hapoo!!! Hahaa Click to expand... Uingereza ni ndogo sana, chukua morogoro region na mbeya city utapata jibu England=130,279 km2(50,301 sq mi) Morogoro=70,624 km2 (27,268 sq mi) Mbeya =62,420 km2 (24,100 sq mi) Total 133,044 km. Uingereza Total 130,279 km,na bado kuna utofauti wa kilomita 3.044.
1academ said: Ongeza na london hapoo!!! Hahaa Click to expand... Uingereza ni ndogo sana, chukua morogoro region na mbeya city utapata jibu England=130,279 km2(50,301 sq mi) Morogoro=70,624 km2 (27,268 sq mi) Mbeya =62,420 km2 (24,100 sq mi) Total 133,044 km. Uingereza Total 130,279 km,na bado kuna utofauti wa kilomita 3.044.
NairobiWalker JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 14,267 Reaction score 14,890 Nov 16, 2016 #24 Mwanzi1 said: Unaleta mada ya uwongo, toka lini mkenya akasema chochote kizuri kwa mwafrika mwingine? Click to expand... Munashinda humu mukitafuta sifa ilhali mkisifiwa mwaona mwadanganywa. Inferiority complex.
Mwanzi1 said: Unaleta mada ya uwongo, toka lini mkenya akasema chochote kizuri kwa mwafrika mwingine? Click to expand... Munashinda humu mukitafuta sifa ilhali mkisifiwa mwaona mwadanganywa. Inferiority complex.