Dark days 17/03/20...

kumbe wewe mtesaji?? ni kinyume na uislamu
Mara nyingi nimesikia watu wakikatwa mtama, mfano"Anakwenda, anapiga chenga ya kwanza,anapiga ya pili, anatoboa pale, Aaaaah, anakatwa mtama.

Ukiyaelewa hayo utaelewa pia maana ya "kutesa kwa zamu".


Hivi nyinyi wakuja mnataka tuwafundishe Kiswahili mpaka lini?
 
Daaah, we jamaa umesababisha nisome hizi post zako zote kwa zaidi ya lisaa limoja
 
Acha kutupigia kelele na mwandiko wako huu. How mambo ya giza yapende mwanga? Nenda kasome, cheti chako feki hakilalishwi na yeyote!

Kama ulifikiri yale yalikuwa mambo ya Magu tu basi mwambieni mama awarudishe na vyeti vyenu.
 
Hivi nyiyi wakuja mnataka tuwafundishe Kiswahili mpaka lini?
Msichoke kutufundisha. Hata Naftali alivyotoka Tanga kuja Dar hakuwa akifahamu kiswahili.

Ni baada ya kuozwa binti wa kiswahili na yule tajiri yake Goa, ndipo akafunzwa lugha na kubadili dini akaitwa Ali.

Uliwahi kusimuliwa haya?! 😆😆😆
 
REJEA KUMBUKUMBU ZAKO ALIKUFA NA UMRI GANI TUANZIE HAPO KWANZA , USIJIDANGANYE USIPOUA UTAISHI MILELE KUFA KUPO PALEPALE UUWE USIUWE YOU ARE ON THE WAY TO DEATH.
KIUBINADAMU UTAONA IVO LKN KIROHO SISEMI SANA.....ABEL UNAJUA ALIPO
 
REJEA KUMBUKUMBU ZAKO ALIKUFA NA UMRI GANI TUANZIE HAPO KWANZA , USIJIDANGANYE USIPOUA UTAISHI MILELE KUFA KUPO PALEPALE UUWE USIUWE YOU ARE ON THE WAY TO DEATH.
KIUBINADAMU UTAONA IVO LKN KIROHO SISEMI SANA.....ABEL UNAJUA ALIPO
Guess the company!??

Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
CCM Company...New Boss de late insane Jiwe bin stone!! Old Booss! de Magnificent honorable old Member son of de kwere....Cap. King Jakaya Mrisho madwende Chikwete mutu ya ma people! ..Msoga one Trans!
 
Jamani, umeona unibatize jina la kanjanja?[emoji23][emoji23][emoji23] Asante buana! Ila Nilitoa angalizo hii ni fasihi simulizi haiusiani na chochote!! [emoji23][emoji23][emoji23] Tusome tu!!
NAKUUNGA MKONO ASILIMIA ZOTE TULIOSOMA KITABU CHA KIKOSI CHA KISASI, NJAMA NA KUFA NA KUPONA TULIKUWA TUNALIA KAMA VILE WILLY GAMBA TULIKUWA NAYE JIRANI AU VERONICA AMADU ALIVYOCHOMWA KISU KWENYE KK-KIKOSI CHA KISASI LAKINI HATA HIVYO KAMA MTU ANAHOJI WEWE ULIKUWA WAPI MBONA HAJAHOJI WAANDISHI WA BIBLIA WALIKUWA WAPI KUMUOKOA YESU WAKATI WALIJUA FIKA ALIONEWA? HII NI HADITHI KAMA YA DINI ZOTE UNA HIARI KUAMINI AU KUPUUZA NA NDIYO MAANA TUNASONA KWENYE VITABU KUWA "INJILI KAMA ILIVYOANDIKWA NA FULANI"" HALAZIMISHWI MTU KUAMINI.
 
KIUBINADAMU UTAONA IVO LKN KIROHO SISEMI SANA.....ABEL UNAJUA ALIPO
MKUU WANGU KUNA WATU WANATAMANI KUUWA MAELFU YA WATU WALA HAWANA HOFU HATA CHEMBE HIYO NI IMANI YAKO REJEA MFALME DAUD ALUWA WANGAPI NA MPAKA LEO WAKRISTO WAANAAMINI NI MTAKATIFU NA BABA WA YESU HIVYO TUMUOMBE MUNGU ATUEPUSHE NA TAMAA YA MALI NA MADARAKA NA KUUWA WENZETU LAKINI UKWELI BINADAMU TUNA SHIDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…