FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Endelea kujifariji, hujakosea.Msichoke kutufundisha. Hata Naftali alivyotoka Tanga kuja Dar hakuwa akifahamu kiswahili.
Ni baada ya kuozwa binti wa kiswahili na yule tajiri yake Goa, ndipo akafunzwa lugha na kubadili dini akaitwa Ali.
Uliwahi kusimuliwa haya?! 😆😆😆
Wengi sana wameiona Nuru ya Allah kupitia "totoz" za Kiislaam, si jipya hilo.