Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Utakua umechanganya story, maana loveness mamuya na mange ni kitu kimoja. Ni marafiki wa karibu SanaNimeona sehemu mange kimamb anamshtumu mtu anaitwa loveness kuwa ni tiss ambaye aliwa kuomba Dola laki 300000 amshuhulikie mange