Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

bado mnaajiriwa kwa umri gani, upumbavu mtupu halafu unasubiri kusimamiwa km mtumwa amka lala hakuna kutoka sasa staafu.
Ili usiwe mtumwa chini ya mtu jiajiri uwe na amani, kalime, uza dagaa au Mtumba, hii ya kusubiri Mwanamke akuongezee mshahara imepitwa Mkuu gangamala mwanamume
Jamaa anachekesha sana, yaani anasifia kuajiriwa dhidi ya kujiajiri. Maana yake anachagua utumwa badala ya kuwa huru. Ndiyo maana kageuka mtunza legacy..
 
Mwanamume halisi inambidi abuni kazi zake binafsi sio kugangamala nataka kima Cha chini kiwe milioni moja na elfu 10 (1,010,000/) eti aje ashindane na sisi wa mitaani
bado Sana
Mama awaongezee nao siku waonekane mitaani juu ya kiti kirefu, maana wakistaafu hata Duka la nyanya hawawezi

Hivi huwezi kuwa wewe ndio yule jamaa wa twitter kipindi cha nyuma alikuwa na info kinoma now ka snitch wana-utetezi yuko kwa wapiga mwingi...
Kule una push agenda
Huku unawakanda
Unanipa mashaka kuna kipindi aliwai post kuwa ana dayari kipindi hicho akiwa wana-utetezi na tena akasema wasimuumize dogo flani kwa sababu dayari anayo yeye!!
But naunganisha dot endi ofu this histri nitajipa majibu...go oni!!!
 
[emoji38][emoji38][emoji38] what are you talking about my friend!! Eid mubarack kwanza!!

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwezi kuwa wewe ndio yule jamaa wa twitter kipindi cha nyuma alikuwa na info kinoma now ka snitch wana-utetezi yuko kwa wapiga mwingi...
Kule una push agenda
Huku unawakanda
Unanipa mashaka kuna kipindi aliwai post kuwa ana dayari kipindi hicho akiwa wana-utetezi na tena akasema wasimuumize dogo flani kwa sababu dayari anayo yeye!!
But naunganisha dot endi ofu this histri nitajipa majibu...go oni!!!
🤣🤣
 
[mention]yoga [/mention] mambo yanapamba moto hatar jikon kwa bibi kunafuka moshi : kunavitu vinaiva navingine vinaungua kabisa : shusha nyingine yoga master
 
Back
Top Bottom