Shusha miamalaLete vitu shusha fire [mention]yoga [/mention]
Tupiamo vyombo[emoji38][emoji38][emoji38] umejuaje!! Rangi ya chungwa ujue mie na tumacho mrembuo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji20][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Picha ya Yoga aliyoweka kwenye avatar yake ni kama kumchekea mtu huku moyoni ukijisemea laiti ungejua mipango niliyopanga dhidi yako na ninavyokuhadaa nyuma ya pazia usingeniamini kiasi hiki na kunichekea.Ndugu yoga katika hizo Secret and untraceable Meeting in secret room wewe hua upo wapi lakini. Kwa sterling upo na kwa jambazi mkuu upo.
Sikuwahi kujua kama kuna wanadamu wanasifa ya Omnipresent kama Oxygen
View attachment 2211591
Huyo sio mkuchikichini?atakayenisaidia kutoa code ya MZEE na UNKNOWN aje inbox nitampa bia 6
“Karibu mzee! Naona umenitafuta sana!nyboma hapo umedanganya km unamjua mmojawapo wa hao si ungemtaja hata kwa codes
Mzee alikua CEO 19'' na anazidi 95 na ndiye UNKNOWN sasa Tanzanite ni nani?
sasa Tanzanite malizia hapo au tukutafunie tena maana umesema tutumie akili
Dah !...hii picha ya kitambo.Nilisikia neno moja kutoka kwa New CEO siku anapindua baadhi ya mawaziri na kumutaarabu mzee wa Bonge na Yeye kuamua kuachia kazi. Kuna mzee mmoja aliniambia watakaokusumbua ni wenye mashart ya kijani. Hii siku nimekumbuka baada ya story hii.
Picha haihusiani na story hii
View attachment 2211557
Umenigoogle jamani!! [emoji38][emoji38][emoji38] Situlikubaliana hii nistory lakini au?[emoji16][emoji16][emoji16] Kwani zile muvi za end of the world au tsunami kamera man mbona anakuwaga kilansehem jamani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Pole sana [emoji23][emoji23][emoji3578]Nachanganyikiwa, mtunzi wa hii riwaya nisaidie kitu. Old CEO na born town ni wahusika tofauti katika hii riwaya?
[emoji23][emoji3578]Polonium 210 una homa wewe
Mwalimu again....Sitaki Mr Born Town afe,sijui kwanini namuelewa Sana huyu mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani kuna mtu alikamatwa kimakosa!!!
Hayo matuhumiwa yote yalikuwa na kesi ya kujibu,fikiria yule jamaa na mkewe wa madawa ya kulevya nao nje,kisha watakuja hapa kusema walionewa[emoji16][emoji16].
Jpm alijua kula sahani moja na hawa wajinga wajinga,amekufa ila bado hawaamini kama amekufa,wanatapika mimba alizowapa.
Una akili mno, pongezi kwako bossm**chika?
Mistari mitatu ya mwisho [emoji419][emoji419][emoji419]Mkuu hongera kwa kuliona hilo..
Kwanza alipitiliza kila kitu akitaka kwanza yeye aone maslai yakoje na kuwa mkali sana asisemwe hapa umekosea.
Natolea mfano wa wazi.. Late CEO aliondoa clearing/forwarding companies nyingi pale mjini kati. Lakini ikatengenezwa moja ionekane ndio inashughulisha na bandari ili eti mapato yaongezeke. Ile iliyotengenezwa ilikuwa ya kwakwe binafsi ila kwa jicho la nje inaonekana kwa mfumo wa taasisi kampuni. Kitendo hiki kiliaribu ajira za watu kama 5,000. Wengi walikuwa wanajishikisha hapo mjini na hakosi hata msimbazi kwa siku.. Kwa kazi hizo na zilikuwa halali.
Kuna mazuri mengi amefanya late CEO na pia kama binadamu kuna mabaya machache aliyafanya. Lakini ukiweka kwenye mizani Mazuri mengi aliyoyafanya yanafunikwa kwa mabaya machache aliyotenda
Na toku abauti wati kumbe!!...mubaraka tulaa[emoji38][emoji38][emoji38] what are you talking about my friend!! Eid mubarack kwanza!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Mwalimu again....
Hivi ni lazima kila Mwalimu awe mjinga? Kila binadamu atakufa, uwe unataka au hutaki
Mhh,wewe bwege mbona unanifuatafuata hivo???!!!
Niogope kucoment kwa ajili yako!!
Mi namkubali Sana muhusika huyu Mr Born Town hivyo sitaki uhusika wake katika simulizi hii uishie njiani.Nampenda namna anavyoicheza mipango yake kwa akili kubwa,Sasa wewe unasema kila mtu lazima afe kwani wewe ndiyo mtunzi wa hadithi hii?
Ulivyo bwege umenijibu UKIWA NJE YA SIMULIZI🤣🤣,HII NI HADITHI tu we PWAGUZI,hakuna uhalisia hapo