Dark days 17/03/20...

Wakuu Late CEO alipokata moto kuna tetesi nilisikia kuwa huyu Past Meridian (PM) hakuridhika kabisa kuongozwa na madam ! Vipi nae ana misheni gani kuhusu Maza??
NASIKIA alianza kuimba uongozi wa kampuni wa mpito kule mkutanoni!!walishajipanga ki vyao kuhusu new CEO a re sign Ili ateuliwe Mwingine Kuwa vice CEO Ili awe CEO!!Mpango ulifeli coz new CEO alikuwa anajua kinachoendelea!!!Sasa pm hana meno kafunikwa na Hata hafurahii anajikausha tu asitemeshwe ugali!!japo ki protocol si dhani kama atasavaivu huko MBELENI coz alihusika na kutaka kufanya uhaini na pesa iliibwa na kuwekwa akaunti yake akisaidiana na aliekuwa KK .BAk!! TUSUBIRI de'levis anayajua hayo!!! Anaweza kujitosa 2025 KWA nembo NYINGINE kama election itakuwepo coz Duru za humu jamvini zinaonyesha election unaweza isiwepo Hadi kitabu kitapokamilika!!!
 
Lol balaa tupu hii kampuni mkuu JB MPIANA majibu haya hapa
 
Lol balaa tupu hii kampuni mkuu JB MPIANA majibu haya hapa
NASIKIA walimtumia mwenye kanzu mkuu wa kampuni mwenye dhamana ya kutangaza sikukuu ya kusitisha mfungo kwamba amwambie New CEO kuwa haifai YEYE kuwa CEO coz ni ke HIVYO akae pembeni!But ceo akakaza!Sasa SIJUI mwenye kanzu atapona ule mkono wa uhai usio onekana! Tusubiri!!!
 
Yani amepoa kweli kweli hasikiki kabisa!! Atulize boli tu aendelee kupata huo ugali anaoupata !!
 
Hivi dini na siasa zinaingiliana sana mkuu???!! Amuache mama ana haki kikatiba labda wamfanyie figusu kama kawaida ya politics haya yanayoendelea chini kwa chini yanaogopesha kwakweli!!
 
Kivipi mkuu Sijaelewa!!
Sammary !jesuits wa kikatoliki walimuandaa NYERERE ashike nchi baada ya kuona waswahili wavaa kanzu wanaodai Uhuru wao NCHI!! Sasa baada ya kushika hatamu kijana wao akawapoteza kabisa kihistoria wale wavaa kanzu hata kumbu kumbu yao imesahaulika ndio maana tunaimba jina Moja tu BABA WA TAIFA!!
 
hahahaaaa... siasaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…