Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya story zenu peleke hukoo mbwa nyie mnatutoa kwenye track wapumbavu wawil nyieAfu sasa anakupiga dongo la wazi huku unajua ni lako hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda wakuendelea sasa!! Mida yetu ile ile usiku usiku tupate epsodes nyingine [emoji21][emoji21]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kheeeh kwan unadhan nipo kwa ajiri ya kukufurahisha wee? Hizo ni shida zako sio zangu.Unaudhi bana sometimes
Mfano wangeamua kusogea eneo la tukio kumrescueHawakujua Kama wangempoteza mazima. Ila location details watu walikuwa nazo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka na nn kwani? Kuwa mpoleee huyo yoga analeta story soon.
Hivi Mr Zizia ndy yupi wakuu??
Duuh
Rost tamu mizizi.Soma vizuri.
DiuRost tamu mizizi.
Inasikitisha sana kwa kweli. Walifanya uzembe mkubwa mno.Hawakujua Kama wangempoteza mazima. Ila location details watu walikuwa nazo.
Kabisaaa!Yeah ampe ujasiri kwakweli kuongoza kampuni sio mchezo!!
Si ndio hapo hadi moyo unapwita pwaaa!Afu sasa anakupiga dongo la wazi huku unajua ni lako hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka huna habari[emoji2]Uandishi unafanana sana na binti mmoja nilikuwa nampenda sana na jina lake linaanzia na V. Niko sahihi??
hahahahaha,ataeza kukujibu ?Ulisikia? Sasa umethibitisha ni ukweli ndio maana umeuliza swali hili au nakosea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe habari mkuu.Bila shaka huna habari[emoji2]
Wajuvi wa mambo au sioNdio maana nimeuliza ila wajuvi washatoa majibu!