Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
yaani mkuu tunatekwa kwa vitu vya ajabu sana.Hii inchi ina vijana wa hovyo, hata mimi nilihisi furaha ya ajabu alivyonipa like ilibaki kidogo watu wanione dishi limeyumba .
Kwenye kampuni hii hii[emoji38] acha bas!!Mkuu,mbona kama wewe ndiye New CEO?
au we ndiye yule unaekaa nyuma ya New CEO?
😂sio vizuri kuongea ukweliKama na wewe upo kwenye intelligence agency basi tuna watu wepesi sana, low IQ.
Rudi Basi dear!!mzuka umepanda HUKU!!!mbona unaoga muda mrefu!!?
Yule branch manager wa kule mliman vipi wanazima tu haya mafuta afu wamgonge nyengine 30 May 🥲hivi kwanni New CEO anamlinda sana branch manager wa Mzizima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ID's humu za miaka ya 2010-2014 zina like comments tu hadi zinaogopesha[emoji16]
Acha kiherehere mkuuWakuu Salama?
Kutokana na Maombi ya wengi kuhusu kumchangia mdau wetu Yoga kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutuburudisha hapa jukwaani basi Naomba tutume Michango yetu kwenye Bitcoin address hapa chini ili Kumtia moyo Ndugu yetu Yoga aendelee kutupatia burudani.
Bitcoin Adress: 18NbQBf2pMw4k6RS5t51VGgNHRRv4SArAg
Chochote utakachoguswa kutoa basi usisite kutuma mchango wako hapo.
Nawasilisha.
...🙄🙄🙄I just liked your gesture MISTER ; the narration is so magnificent.
Members, I think NOW is the time Atleast we should contribute something to our camarade: Nashauri kama hutojali utu PM your contact number for our great contribution.
Our Almighty Lord has been so good angalau the truth has been put in lies . Kindly PM your contact number so as to share our love and support.
Great narration my young brother ! Take care man.
Wakuu Salama?
Kutokana na Maombi ya wengi kuhusu kumchangia mdau wetu Yoga kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutuburudisha hapa jukwaani basi Naomba tutume Michango yetu kwenye Bitcoin address hapa chini ili Kumtia moyo Ndugu yetu Yoga aendelee kutupatia burudani.
Bitcoin Adress: 18NbQBf2pMw4k6RS5t51VGgNHRRv4SArAg
Chochote utakachoguswa kutoa basi usisite kutuma mchango wako hapo.
Nawasilisha.
Mkuu unamajaribu...Safi sana Mkuu. Ila nina wasiwasi na knowledge gap ya watanzania wengi kutumia bitcon. Ni bora aweke Akaunti yake au namba za simu zinazopokea pesa.
Mungu wetu amlinde Yoga for putting truth in lies. Tumejua what happened to President JPM., JPM alidhulumiwa madhuluma.
What goes around comes around like hula hoop! We need to support you Yoga...
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] are u sirias or serous?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Thanks dears for puting this together, today exchange rates bitcoin 1 ni sawa na. 83,432,160.00Safi sana Mkuu. Ila nina wasiwasi na knowledge gap ya watanzania wengi kutumia bitcon. Ni bora aweke Akaunti yake au namba za simu zinazopokea pesa.
Mungu wetu amlinde Yoga for putting truth in lies. Tumejua what happened to President JPM., JPM alidhulumiwa madhuluma.
What goes around comes around like hula hoop! We need to support you Yoga...
Ameshasema hataki support!! Mbona King'ang'anizi?Safi sana Mkuu. Ila nina wasiwasi na knowledge gap ya watanzania wengi kutumia bitcon. Ni bora aweke Akaunti yake au namba za simu zinazopokea pesa.
Mungu wetu amlinde Yoga for putting truth in lies. Tumejua what happened to President JPM., JPM alidhulumiwa madhuluma.
What goes around comes around like hula hoop! We need to support you Yoga...
Kwanini usiandike kitabu jamani ukauza, hakuna cha bure...[emoji38][emoji38][emoji38] kwamba mie msigwa! We mkaka wewe!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Mimi napumua mkuu niko mzima. Ni kweli binadamu anaweza kukutanguliza mbele za haki kimya kimya na asiache ushahidi ila trust me hakunaga siri chini ya jua hili.
Nitamfatilia huyoMember kama anaona hizi CODE zinamsumbua au kumuogofya aende You Tube mbona kila kitu wazi, atakutana na Veronica Francis wameeleza hii sumu ya P 210
aandike tu Kifo cha Late CEO zitashuka kibao, humu ni makosa kuweka hata link
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] are u sirias or serous?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Thanks dears for puting this together, today exchange rates bitcoin 1 ni sawa na. 83,432,160.00
Jamani kweli mnatakakunipa hizo hela zote kwa simulizi hii hii tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ! Mmetisha mungu awabariki[emoji1787][emoji38][emoji38]
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app