Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Wakuu Salama?

Kutokana na Maombi ya wengi kuhusu kumchangia mdau wetu Yoga kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutuburudisha hapa jukwaani basi Naomba tutume Michango yetu kwenye Bitcoin address hapa chini ili Kumtia moyo Ndugu yetu Yoga aendelee kutupatia burudani.

Bitcoin Adress: 18NbQBf2pMw4k6RS5t51VGgNHRRv4SArAg

Chochote utakachoguswa kutoa basi usisite kutuma mchango wako hapo.

Nawasilisha.
Acha kiherehere mkuu

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
I just liked your gesture MISTER ; the narration is so magnificent.

Members, I think NOW is the time Atleast we should contribute something to our camarade: Nashauri kama hutojali utu PM your contact number for our great contribution.

Our Almighty Lord has been so good angalau the truth has been put in lies . Kindly PM your contact number so as to share our love and support.

Great narration my young brother ! Take care man.
...🙄🙄🙄
 
Wakuu Salama?

Kutokana na Maombi ya wengi kuhusu kumchangia mdau wetu Yoga kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutuburudisha hapa jukwaani basi Naomba tutume Michango yetu kwenye Bitcoin address hapa chini ili Kumtia moyo Ndugu yetu Yoga aendelee kutupatia burudani.

Bitcoin Adress: 18NbQBf2pMw4k6RS5t51VGgNHRRv4SArAg

Chochote utakachoguswa kutoa basi usisite kutuma mchango wako hapo.

Nawasilisha.

Safi sana Mkuu. Ila nina wasiwasi na knowledge gap ya watanzania wengi kutumia bitcon. Ni bora aweke Akaunti yake au namba za simu zinazopokea pesa.

Mungu wetu amlinde Yoga for putting truth in lies. Tumejua what happened to President JPM., JPM alidhulumiwa madhuluma.

What goes around comes around like hula hoop! We need to support you Yoga...
 
Mkuu unamajaribu...
 
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] are u sirias or serous?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Thanks dears for puting this together, today exchange rates bitcoin 1 ni sawa na. 83,432,160.00

Jamani kweli mnatakakunipa hizo hela zote kwa simulizi hii hii tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ! Mmetisha mungu awabariki[emoji1787][emoji38][emoji38]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Ameshasema hataki support!! Mbona King'ang'anizi?

More rubbish [emoji2961][emoji1784]
 
Mimi napumua mkuu niko mzima. Ni kweli binadamu anaweza kukutanguliza mbele za haki kimya kimya na asiache ushahidi ila trust me hakunaga siri chini ya jua hili.

Na hata likifichwa
Kuna Siri kubwa kwenye uhai na kufa pia
Wengine huwa wanaua Halafu wanashindwa kuvumilia na kuropoka siku za mbele

Kweli hakunaga Siri
 
Member kama anaona hizi CODE zinamsumbua au kumuogofya aende You Tube mbona kila kitu wazi, atakutana na Veronica Francis wameeleza hii sumu ya P 210
aandike tu Kifo cha Late CEO zitashuka kibao, humu ni makosa kuweka hata link
Nitamfatilia huyo
 
Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] are u sirias or serous?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Thanks dears for puting this together, today exchange rates bitcoin 1 ni sawa na. 83,432,160.00

Jamani kweli mnatakakunipa hizo hela zote kwa simulizi hii hii tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ! Mmetisha mungu awabariki[emoji1787][emoji38][emoji38]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app

Sawa MISTER Yoga [emoji3284], tuendelee kuwasiliana.looking forward to hearing you again soon.

Take care we are still on it
 
Back
Top Bottom