Dark days 17/03/20...

mh.
 
Yoga Description from the story
1.Rangi ya chungwa macho mrembuo.
2.Hana shida na PESA coz anaishi Bure that means anahudumiwa KILA kitu.
3.Alikuwa kule USA majuzi KWENYE ule msafara wa Royal tour alituambia tofauti ya masaa ya kule na huku kwetu.
4.Alikuwa Bize na ishu za sensa za kitaifa wakati Mwingine anazidiwa na majukumu mengi!!
5.Ni mtu MZIMA Sana!hataki katoto na uzee huu ina Maana hataki kuzaa au menopause stage already.
6.kwenye KILA tukio la story yupo na anaeleza kama yeye ndiye anaerekodi KILA kitu hata ana Siri ZOTE kabisa za character na anapata taarifa zote za KILA kitu kana kwamba KWENYE KILA tukio yupo!!
7.Anakuwa bize Sana Hadi anakosa muda wa kuandika humu jamvini hata akiahidi muda FULANI hatokei kwasababu ya majukumu FULANI nyeti!!
TAHADHARI KWA MEMBERS HUMU.
yoga ni mtu mkubwa Sana na tunapiga story na mtu mwenye uwezo wa ku Access tulipo na kutufikia popote tulipo!Anzenie kuomba msamaha kama kuna mahali mme mis behave na tuwe makini kwenye uchangiaji huu uzi!!!
Kama pm yake inafunguka tuanze kuomba uteuzi au hata conection ya kazi nzuri Ili to beat mfumuko wa bei na msoto wa kitaa!!!
MTAZAMO HURU HUU!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna cha code, ni upuuzi na ujinga tu kuongea kwa mafumbo vitu vinavyojulikana wazi. Wajinga kama wewe ndiye muonao kama vile kuna "bonge la "conspiracy", ni ujuha tu.

Waste of time.

Nini kigumu kueleweka kwenye huu uzi? Ni umbea wa kuongelea watu tu.
FAIZA fox umebaki kuwa the same tangu ulipojiunga 2011, Maana ni kuwa hujapata mafunzo yoyote ya kuboresha UFAHAMU wako Kwa muda wote huo. Shame on you.
 
Mkuu! Umefunga PM, ninashida kidogo. Naomba uni PM kama hutojali, ni shida binafsi lakini.
 
Mkuu! Umefunga PM, ninashida kidogo. Naomba uni PM kama hutojali, ni shida binafsi lakini.
Dogo usitishwe na watu.
yoga ni raia mwema kama wewe tu.

Sema amekuzidi hatua na access ya vitu kadhaa usije kulia shida kwake.

yoga tumewahi kuwa wote usukumani mwanza huku hususani pande za sengerema.

Nasisitiza Tena
rais ajaye na Rumi96
Yoga ni raia mwema wala hana hizo sifa na vyeo mnavyompa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…