Dark days 17/03/20...

Ila taasisi yetu inahitaji reforms kubwa Sana, Ila sidhani Kama mama ataweza labda atakayekuja
 
Hiyo vetting wanayodai hapa mbona imekuwepo muda mrefu sana kabla ya late ceo, na imesababishwa na nepotism ambayo imerudi kwa kasi ya 5G.
 
Ila taasisi yetu inahitaji reforms kubwa Sana, Ila sidhani Kama mama ataweza labda atakayekuja
Ni kweli mkuu! Vijana wetu wengi hawana sifa ,zamani kuwajua hawa watu ilikuwa ngumu sana,lakini siku hizi imekuwa kama kazi nyingine tu,wengine vichwa vya panzi wakishalewa ndio utawajua wanavyoanza kubwabwaja mambo yao.

Wengine sifa tu ili umjue yeye ni nani atajifanya anaongea kwa code ilimradi akuonyeshe yuko huko.

Wengine ujasiri sifuri macho yake yanamuumbua.

Waigizaji nao hawaigizi katika uhalisia, umewahi kuona wapi kichaa anaona aibu au anajistukia?

Ushauri wangu,ingawa dunia iko mbele zaidi kwenye teknolojia lakini misingi ya mwanzo ni muhimu kabisa, tukiishi katika nyakati za kale kabla dunia haijawa ya kidijitali tutaishi kwenye uhalisia wa kweli.

Kiongozi /viongozi ni muhimu kufuata ushauri unaotolewa na wengine na kuufanyia kazi.

Unaweza kuwa unajua vyote lakini neno moja la mjinga linakaokoa maisha yako.Kusikiliza na kufanyia kazi kisha ukatenda ni vizuri zaidi kwasababu unapata matokea chanya hata kama si kwa kiwango kikubwa.

ONE MAN SHOW...ONE MAN DOWN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…