Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Outsider sasa ni rafiki wa rafiki wa former CEO, na si muda mrefu rafiki wa former CEO anakuwa CEO wa nchi yao,Outsider ndie mpige debe mkuu wa rafiki wa former CEO, kwani msaidiziwa Outsider alikuwa ampindue Outsider kama si kuokolewa na rafiki wa former CEO na sasa Outsider anaimba yale yote aliyofanya Borntown na Delila kwa kipenzi cha rafiki wa CEO mwendazake, watu husema unaposema ya moyoni au siri huwezi jua kesho aliyekuwa adui wako anakuwa rafiki wa rafiki yako.
 
You have Attention Seeking Disorder, You're hallucinating so that peoples may take you serious. That document you want to share with her/him just shove it in your As$¢. Nobody need it.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aingizee kule kwa Rutuuuu ndani kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Outsider sasa ni rafiki wa rafiki wa former CEO, na si muda mrefu rafiki wa former CEO anakuwa CEO wa nchi yao,Outsider ndie mpige debe mkuu wa rafiki wa former CEO, kwani msaidiziwa Outsider alikuwa ampindue Outsider kama si kuokolewa na rafiki wa former CEO na sasa Outsider anaimba yale yote aliyofanya Borntown na Delila kwa kipenzi cha rafiki wa CEO mwendazake, watu husema unaposema ya moyoni au siri huwezi jua kesho aliyekuwa adui wako anakuwa rafiki wa rafiki yako.
Mkuu
KWA hiyo inaonekana kama ya HUKU kwetu yalivyotokea yatatokea na Hapo kwa outsider!!?
Yaani mjaluo ata fanyiwa RIP halafu yule msaidizi wake atachukua throne yule mwanamke!!?au katiba yao inasemaje!!?haimpi nafasi ya makamu kuchukua!!?
 
Dah code nyepesi hivi imekushindaje? Freedom hawezi husishwa kwenye hayo mambo.
Mkuu wewe ndio hujui Freedom huyu sio huyu wetu wa Saccos ya kaskazini yeye anaitwa Mr Culture, huyu ni Freedom kutoka kwa akina nyang'au ambaye ni CEO amayemaliza muda wake nchi ya jirani, ambao walichomewa vifaranga pale mpakani,hope sasa ushaelewa. Huyu Freedom baba yake nae alikuwa CEO wa kwanza wa nchi jirani. Kuna swali?
 
Mkuu
KWA hiyo inaonekana kama ya HUKU kwetu yalivyotokea yatatokea na Hapo kwa outsider!!?
Yaani mjaluo ata fanyiwa RIP halafu yule msaidizi wake atachukua throne yule mwanamke!!?au katiba yao inasemaje!!?haimpi nafasi ya makamu kuchukua!!?
Sidhani jaluo ni kama kalazimishwa tu na mazingira ya Outsider sababu ya kibri cha yule Mkalenjini CEO msaidizi, kwa sasa sidhani kama jaluo ataongoza mihura 2, kwani CEO anayeondoka kaweka mazingira ya kumrudisha Iron lady ambaye ni kabila lake kumrithi jaluo, ila shida sasa sijui kama Iron lady akishika madaraka bado atakuwa anamtii CEO wa sasa ambaye ndie kamuweka kuwa mgombea mwenza wa jaluo,huko mbele CEO wa sasa anayeondoka anataka kuwa kama Born town shida Manyang'au ni wabishi sana tofauti na sisi makondoo. katiba inasma CEO akiondoka deputy wa CEO anachukua nchi, jaluo kachoka kwa sasa hana makeke yeye anataka kusafisha to CV kabla hajaondoka hapa duniani. Shida outsider bado kijana na atarudi tena .tayari kesha onja asali anaujua utamu wa asali.
 
Back
Top Bottom