Dark days 17/03/20...

.
 

[emoji897]
 
Yaani unavyoandika utafikiri we utaishi milele, watu mbona mnahifadhi sana chuki? Mtu ameshakufa bado mnateseka nae wanini sasa! Yaani awamu ya 5 mnaichukia mnatamani muifute kabisa kwenye historia ya nchi hii!
Yes sitaishi milele.

Ila ukifanyia watu ubaya usitegemee watakaa kimya.

Kama wewe ulifanyiwa mema usiwaone wanaolalamika kama wasenge.
 

Ninakufuata Inbox, kama hutojali. Thanks [emoji120]
 
Mbona George Bush wa Marekani hajauawa na ameua vya kutosha Iraq?
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…