Dark days 17/03/20...

Tuwe na subira, kuna kitu kime eleweka
Kila Siama anapokuwa na tukio au trip story inakuwa paused. Kwa vyovyote vile OP ni mmoja wapo wa wale mitume watatu wanawake ama yeye mwenyewe.

Moral of the story pengine ni kututafsiria na kutufumbulia ndoto za usiku uliopita. Kumbuka wakati wengine wamelala yeye alikuwa macho na aliona kila kitu. Kingine ni kutuondolea wenge la asubuhi. Kama kweli kuna miiba kwenye njia zake wajiandae. Anaonekana ni mtoto wa Nyoka, kitu gani kimempeleka kwa walima Cocoa?
 
Mkuu mimi ni me, kwanini unapenda kutukana au kutumia lugha za kudhalisha? Au unakuwa umeishiwa hoja?​

Wewe ni mtu wa ajabu sana, huko juu umemsema mwenzako kwamba anatoa lugha za matusi ila cha kushangaza nawewe unanaanza kuwatolea lugha chafu na kuwatukana wenzio badala ya kujibizana kwa Facts.

Personal Values ni mkusanyiko wa mambo yote ambayo mtu fulani anaona kwake ya faida na umuhimu kama vile imani, dini, tamaduni, mila,ideas, nk nk. Kila mtu ana Values zake kwenye maisha basi haina budi kumuheshimu mtu na values zake katika masha.....Haiwezekani kipimo cha akili duniani iwe kuwa mfuasi wa mbowe au chadema.
Na kipimo cha ujinga iwe Kuunga mkono mambo aliyofanya JPM which are of course Superb, never ever in this Crazy world

Mungu alipotuumba kila mtu alimpatia Free Will yaani kila mtu achague mtindo wake aupendao wa kuishi duniani na Mungu mwenyewe anaheshimu kila chaguzi ya anayofanya mwanadamu katika maisha ndio maana hua hatuingilii katika machaguzi na maamuzi yetu ya maisha.

Sasa wewe kwanini uone wenzako ni wajinga,maskini na wapumbavu kisa tu They didn't feed your ego. Heshimu values na machaguzi ya watu kama Mungu anavyoyaheshimu sio lazima wote tupende mtu mmoja au kitu kimoja, hiyo ndio demeokrasia amabayo CDM imekua ikiihubiri sasa nashangaa watu wakiifuata mnawadhihaki.. Nashindwa kuelewa mnataka nini nyie binaadamu wenzangu....Kama mtu hujapenda anachokipenda basi wewe waache ondoka zako kama utashindwa kubishana nao kwa hoja.

Lazima tutofautiane mitazamo na preferences hicho ndio kinatufanya tuwe binaadamu na sio robot ambao wapo coded kuExcute a certain Task.
Binafsi kama ingekua ili JPM arudi basi mtu inatakiwa ajitolee uhai wake ningekua tayari kufanya hivyo with proud. I'll love and appreciate JPM Here and Hereafter. On this life or the Next.


Respect, You need to give it out to others. If you wat to receive it


 
Sio ww ni mamilion ya watanzania wapo tayari kufa kwa ajili ya JPM. Hata siku ile ya kumuaga uwanja wa Taifa walikufa watu zaidi ya 40.

 
Fala sana huyo jamaa achana nae. Mara nyingi anapenda ku-criticize comments na posts za wengine as if JF ni ya baba yake!
 
Noma
 
mkuu kuna binaadamu mbuzi,halafu kuna huyo jamaa.

sijui hata wazazi wake wanajivunia nini kutoka kwake,labda kutafuna chakula.
 
Bro Dm link ya hiyo thread nikasome nina arosto ya hii tamthilia
 
Nipeleke mkuu[emoji4][emoji4]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Nikiaangalia I'D yako naona kabisa wale Watanzania wanao aamini bila kupiga deal hutoki kimaisha! ndiyo maana unamchukia Magufuli hadi kesho kwa kuvuruga deal zako!!!
Usiwe na roho ya kimasikini. Fanya kazi kwa bidii utafanikiwa tu na unyonge utakutoka. Tatizo lako kubwa ni unyonge ndiyo maana unadhani tuliofanikiwa tumepiga dili, mara sijui vyeti feki. Amka mkuu hizo ni propaganda tu na mara nyingi masikini ndiyo wanaamini kirahisi. Amini nakuambia kama bank una 20 million na kuendelea hata siku moja huwezi kumeza propaganda za watawala hata kidogo. Fanya kazi kama umachinga au kazi kama yako, kauli kama vyeti feki, ufisadi, kupiga dili halitakutoka mana kila aliyefanikiwa wewe utakuwa unamini kafanikiwa kutoka kwenye vitu kama hivyo. Je wajua yule aliyetaka kujua PhD ya Jiwe kama ni genuine au laha kilichomkuta?
 
Sawa mkuu, uko sahihi na nakubaliana na wewe. Kuna wengine Jiwe kwetu tunamuona kama muuaji, mwizi na mtu muongo kuliko wote, lakini kama ulivyosema siyo lazima kila mtu amwone katika mtizamo huo.
 
Thank u darling[emoji3059]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…