Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

nimejua ni kwanini TISS yetu inadharauliwa na majirani
May be they have negative chadema obsession.

Wakati kuna watu wanafanya

Economic sabotage and espionage.

Wengine wapo humu humu nchi hasa asians na baadhi ya viongozi mafasadi.

TISS dhaifu na uchumi dhaifu TISS imara na uchumi imara.

Politicians ni worms wanaimaliza nchi
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana, huko juu umemsema mwenzako kwamba anatoa lugha za matusi ila cha kushangaza nawewe unanaanza kuwatolea lugha chafu na kuwatukana wenzio badala ya kujibizana kwa Facts.

Personal Values ni mkusanyiko wa mambo yote ambayo mtu fulani anaona kwake ya faida na umuhimu kama vile imani, dini, tamaduni, mila,ideas, nk nk. Kila mtu ana Values zake kwenye maisha basi haina budi kumuheshimu mtu na values zake katika masha.....Haiwezekani kipimo cha akili duniani iwe kuwa mfuasi wa mbowe au chadema.
Na kipimo cha ujinga iwe Kuunga mkono mambo aliyofanya JPM which are of course Superb, never ever in this Crazy world

Mungu alipotuumba kila mtu alimpatia Free Will yaani kila mtu achague mtindo wake aupendao wa kuishi duniani na Mungu mwenyewe anaheshimu kila chaguzi ya anayofanya mwanadamu katika maisha ndio maana hua hatuingilii katika machaguzi na maamuzi yetu ya maisha.

Sasa wewe kwanini uone wenzako ni wajinga,maskini na wapumbavu kisa tu They didn't feed your ego. Heshimu values za na machaguzi watu kama Mungu anavyoyaheshimu sio lazima wote tupende mtu mmoja au kitu kimoja, hiyo ndio demeokrasia amabayo CDM imekua ikiihubiri sasa nashangaa watu wakiifuata mnawadhihaki.. Nashindwa kuelewa mnataka nini nyie binaadamu wenzangu....Kama mtu hujapenda anachokipenda basi wewe waache ondoka zako kama utashindwa kubishana nao kwa hoja.

Lazima tutofautiane mitazamo na preferences hicho ndio kinatufanya tuwe binaadamu na sio robot ambao wapo coded kuExcute a certain Task.
Binafsi kama ingekua ili JPM arudi basi mtu inatakiwa ajitolee uhai wake ningekua tayari kufanya hivyo with proud. I'll love and appreciate JPM Here and Hereafter. On this life or the Next.


Respect, You need to give it out to others. If you wat to receive it


View attachment 2236192
Kaka umemaliza
 
Hata mimi namuona muuaji,mwizi na muongo. Maisha ni mwandiko, unaandika,wanaokuzunguka wanakusoma.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Duh Bora Mwendazake katangulia huko jehanamu hata mkaa wake hsubski, kaua sana, alikua hataki hata kukosolewa, atakuondoa tu.
Mama kapiga mwingi na juzi katunikiwa.
 
Back
Top Bottom