Sawa tutaanzia hapo na tuendelee mbele.Mh,historia huwa haifutwi kirahisi hivyoo mkuu,Mr Born Town akifa kwa hila Basi tegemea muendelezo mkali Sana wa historia hii,Trust me hatutaanza upya Bali tutaendelea na alipofia Mr Born Town.
Kumbe kisa ulipata ajira wakat wake ndo ufurahie? Mie staki hayo ya ajira wala nn nae asepeshwe.Japo born town ana mishe mishe nyingi
Ila dijawahi natamani afe kizembe.
Ana unafuu na uungwana kuliko yule jamaa mzilanKENDE.
born town ana utu kidogo.
Angekuwepo madaraka wewe leo ungekuwa uhakika wa kazi unachosomea chuo.
Mambo yote yalitibuliwa na gule mzilanKENDE.
nilipata kazi yangu ya kwanza kipindi born town yuko hatamuni.
Una hasiraa...Kumekuchaaaaaaaaaaah,
Born town akishinda hii Battle ntasema baas, Jah ndo ataamua ni lini achukue oxxgen yake.
Nataman alazwe foot 6 mapema mno, mbna yeye kalaza wenzie. Khaaaah nachukia mie.
Nna hasira had nataka kupasuka wallah.Una hasiraa...
Zitasha, ukijua kila mmoja ya wakuu wa kampuni ana sura mbili...ukijua hasira utaelekeza kwingne..Nna hasira had nataka kupasuka wallah.
Vitu vingine naogopa kuongea sana nisije nikavuka mstari mwekundu maana dah ulimi uliponza kichwa.Jazia nyama mkuu kwahuyo kamanda aliyestaafu na baadhi ya op huko porini
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huyu kwa kitendo cha kulaza wenzie, nayeye alazwe.Zitasha, ukijua kila mmoja ya wakuu wa kampuni ana sura mbili...ukijua hasira utaelekeza kwingne..
We jamaa bana! Anyway [emoji1][emoji1]Vitu vingine naogopa kuongea sana nisije nikavuka mstari mwekundu maana dah ulimi uliponza kichwa.
Kuna kamanda amestaafu anaitwa sabuni Toffy ile ya kufulia nguo ,hiyo hiyo mkuu [emoji846]
Huko bwana kuna kipindi kulikuwa na ujambazi sana magari kutekwa tekwa hovyo, askari wananyang'anywa hadi bunduki halafu zinatumika kutupiga sisi wenyewe.
Ukifuatilia unakuta ni watu wanavuka mipaka wanaingia kutoka nje na wanafanya yao,yaani hiyo njia kama mnaianza kuna kibao kinasema "sasa unaanza kuingia pori la..."Kama mlikuwa mnapiga story kila mmoja kimyaaaaa, unawaza sijui nitamaliza salama?
Roho mkononi mwenye kuomba anaanza, tasibihi mkononi, Rozary, wa njia ya msalaba ilimradi kila mmoja anamlilia muumba wake.
Walivyozidi ikabidi wampeleke huyo Kamanda kufanya utalii kwenye mapori yote, yeye mwanzo hakuwa anaenda front anawatuma tu vijana wake.Wakienda na kurudi hawaji na majibu ya uhakika sana maana baada ya muda unasikia tena wapuuzi wameanza tena.(wameteka) na kuua.
Akaona huu ujinga, akaita vijana wake kadhaa akasema kuanzia sasa mimi sikai ofsini tunaenda wote, vijana wanashangaa boss uko serious? Akawaambia twendeni na msiseme tunaenda wapi.
Kabla hawajafika zikaanza kulia,nao wakajibu ila upande wa maharamia ukaonekan una nguvu zaidi. Akaita Landrover kwa simu ya upepo kutoka makao makuu ya mkoa, ikaja iko loaded.
Mkuu tumefika, akawaambia nipishe niwaonyeshe, yeye mwenyewe akapanda juu weeeh, unaambiwa hadi kuku walikuta ni manyoya tu. Salamu zikapelekwa kwa wengine kwamba tulichofanyiwa si kwa akili hizi za hawa jirani zetu tulivyodhani wako, sivyo kumbe, adabu.
Akaendelea kuwajengea uwezo hadi sasa ukisikia ni kwamba aidha wamekufa wakijaribu au walikimbia kuko shwari. Kumbuka huyu alipelekwa huko na born town. Sasa hapa mtu atasemaje jeshi la Polisi ni dhaifu, hatuyajui mengi wanayoyafanya.
Jamani makamanda nimeamua kuongelea mazuri yenu ambayo wananchi hawayajui ndio maana wakati mwingine wanaleta dharau, ila kama mtaona naenda kinyume tafadhali niambieni nifunge kinywa changu.
Nimeongea kwa kifupi sana hilo tukio maana nilisimuliwa ila ni la kweli siku hizi kuko shwari, so Mr born town hawaachi kumlaum na kumlaani kule aliweka intelijensia kali ambayo ilitibua mambo yao mengi.
Utasikia Chi...mbaya sana,hovyo sana, wengi hawawezi kutamka herufi ya jina lake la kwanza.
Kwanini mkuu. Unaanza kunitisha sasa ,hala, hala,jirani usiniache mwenyewe [emoji31][emoji31][emoji846][emoji846]We jamaa bana! Anyway [emoji1][emoji1]
Inaonesha lengo la riwaya hii sio Born Town elimination.Mkuu
Unamaanisha kuwa kuna vitu tunafichwa Sio!!!?
Mi niloshtuka nilipoona hakuna mwendelezo wa episode inapoisha bali inarukiwa nyingine nikajua mwandishi akataka tujue upande tu wa kile alichokusudia!!!
Inatuchangamsha lakini [emoji39][emoji39][emoji39]Ni story ya aina yake
Hili nalo neno mkuu. Yaani kuhusu kumtumia ujumbe safi sana.Inaonesha lengo la riwaya hii sio Born Town elimination.
Mzee na Yoga wanatuvuta kuonyesha lengo ni kumzima borntown lakini stori inavoendelea unaona kabisa anaetafutwa hapa ni Paka inaonyesha kwa ground kuna mambo yanafukuta maana mwendazake alikua brainwashed sana na jamaa so wanaclear messy na pia wanataka kumtumia ujumbe we are watching you very close ..
Mara ya mwishoVitu vingine naogopa kuongea sana nisije nikavuka mstari mwekundu maana dah ulimi uliponza kichwa.
Kuna kamanda amestaafu anaitwa sabuni Toffy ile ya kufulia nguo ,hiyo hiyo mkuu [emoji846]
Huko bwana kuna kipindi kulikuwa na ujambazi sana magari kutekwa tekwa hovyo, askari wananyang'anywa hadi bunduki halafu zinatumika kutupiga sisi wenyewe.
Ukifuatilia unakuta ni watu wanavuka mipaka wanaingia kutoka nje na wanafanya yao,yaani hiyo njia kama mnaianza kuna kibao kinasema "sasa unaanza kuingia pori la..."Kama mlikuwa mnapiga story kila mmoja kimyaaaaa, unawaza sijui nitamaliza salama?
Roho mkononi mwenye kuomba anaanza, tasibihi mkononi, Rozary, wa njia ya msalaba ilimradi kila mmoja anamlilia muumba wake.
Walivyozidi ikabidi wampeleke huyo Kamanda kufanya utalii kwenye mapori yote, yeye mwanzo hakuwa anaenda front anawatuma tu vijana wake.Wakienda na kurudi hawaji na majibu ya uhakika sana maana baada ya muda unasikia tena wapuuzi wameanza tena.(wameteka) na kuua.
Akaona huu ujinga, akaita vijana wake kadhaa akasema kuanzia sasa mimi sikai ofsini tunaenda wote, vijana wanashangaa boss uko serious? Akawaambia twendeni na msiseme tunaenda wapi.
Kabla hawajafika zikaanza kulia,nao wakajibu ila upande wa maharamia ukaonekan una nguvu zaidi. Akaita Landrover kwa simu ya upepo kutoka makao makuu ya mkoa, ikaja iko loaded.
Mkuu tumefika, akawaambia nipishe niwaonyeshe, yeye mwenyewe akapanda juu weeeh, unaambiwa hadi kuku walikuta ni manyoya tu. Salamu zikapelekwa kwa wengine kwamba tulichofanyiwa si kwa akili hizi za hawa jirani zetu tulivyodhani wako, sivyo kumbe, adabu.
Akaendelea kuwajengea uwezo hadi sasa ukisikia ni kwamba aidha wamekufa wakijaribu au walikimbia kuko shwari. Kumbuka huyu alipelekwa huko na born town. Sasa hapa mtu atasemaje jeshi la Polisi ni dhaifu, hatuyajui mengi wanayoyafanya.
Jamani makamanda nimeamua kuongelea mazuri yenu ambayo wananchi hawayajui ndio maana wakati mwingine wanaleta dharau, ila kama mtaona naenda kinyume tafadhali niambieni nifunge kinywa changu.
Nimeongea kwa kifupi sana hilo tukio maana nilisimuliwa ila ni la kweli siku hizi kuko shwari, so Mr born town hawaachi kumlaum na kumlaani kule aliweka intelijensia kali ambayo ilitibua mambo yao mengi.
Utasikia Chi...mbaya sana,hovyo sana, wengi hawawezi kutamka herufi ya jina lake la kwanza.
tai kwenye mzoga......Unasomaga vitabu vya Kelvin Mponda?. Hilo tusi analitumia sana kwenye maandiko yake.
Ahsante sana mkuu siko peke yangu maana watu wanaweza kudhani ninatunga story. Huyu mzee serikali imlinde sana alifanya mambo makubwa mno. Wapo pia mashujaa wengine wasitupwe au kusahaulika wana mambo mengi mazuri nyuma ya pazia.Mara ya mwisho
Alikuwa PATANA
Mtu mmoja poa sana
Nilimfahamu
Akiwa msela
Kaya moja
Kati ya tatu
Huko kaskazini
Ni kweli lakini wale Top wao wakiamua kukataa ujinga wa wanasiasa yataisha haya. Sema na wao wanayapenda hayp hayoImani imeshuka sana kwa raia kwa vyombo vyetu vya dola hasa polisi mpaka inatia hasira kwasababu kuna ujinga ulikuwa unafanyika mpaka mtu wa kawaida unajiuliza ina maana hawayaoni haya kweli?
Viongozi wetu ndio wakulaumiwa, vijana wetu wako vizuri lakini wanaamriwa kufanya utekelezaji tu japo hata wao roho inawauma
Glory to the Most High God. Amen Ameni . Mtumishi Ame umeongea neno lenye mamlaka ndani yake. Nasi wana wa kampuni tunapenda nchi yeny utawala bora, haki, umoja na mshikamano na maendeleo itakuwa kama kumsukuma mlevi tu.Nchi hii ipo na inaenda kuwa njema sana sana...Natamani kama macho ya wasioona yangefunguliwa kama ya mtumishi wa Eliya, wangepiga vigelegele vya shangwe...Glory be to the highest!
Mimi yangu si story kama ya bibie, yangu ni kauli ya kifalme ambayo inaishi bila kupingwa...
Kidogo umeanza kunitia moyo. AsanteKwa kweli viongozi wetu wabadilike sana,waache tamaa, wazuie wizi, ufisadi, uzembe na rushwa. Bado ninaamini tuna jeshi zuri na imara kabisa, kama tukirekebisha hizi kasoro ndogo ndogo tutakuwa Taifa lenye kutamaniwa na wengi kuja kuishi ndani yake
Yaani yanaisha muda huo huo na wanawapa moyo wale wa chini kupiga kazi haswaaa, sema siasa wanasiasa wanafanya kudivide na ku rule ,akiahidiwa cheo au zawadi anaweka weledi pembeni.Ni kweli lakini wale Top wao wakiamua kukataa ujinga wa wanasiasa yataisha haya. Sema na wao wanayapenda hayp hayo