Dark days 17/03/20...

7seven anaharibu uzi
It's too much. Tusigeuze hapa kijiwe cha soga na political myth. Kuna watu wanaongea na General duties wanafikiri wamepata dossiers za maana na kujaza uzi kwa comments.

Kama huna la msingi sana tusubiri mtoa mada aendelee. Tuachane na soga za vijiwe vya kahawa, mnafanya wanajf wote tuonekane tunaungaunga tu.
 
tupo utumwani...ukiwa mzalendo ukakata mianya ya mabeberu kupata mkate...unawakera wanakurudia wanakufanyia kweli...utumwa upo
 
Kama kampuni ingetekeleza haya, zamani hizi tabia zinfeshakufa...Lakini hao wa mishahara isiyotosha lakini wanajirundikia miposho na safari za kujazia kuliko ku solve matatizo ya nchi hawa mchwa hawa siku wakidhibitiwa nitawapa high five hawa wenye kampuni...Short of thata...Basi wao waendelee tu kujiita wazalendo..Wenye mtizamo wetu tunawatambua kwa mapana na marefu yao, na ipo siku tutafanikiwa tu kama siyo sisi tuonao tofauti kwa sasa basi vizazi vyetu...
 
Imagine hiyo yao informal wanaibariki lakini walio formalize kwa faida ya nchi ndiyo wanaitwa wakatili...Wao siyo wakatili eti...Miafrica ndivyo tulivyo...Acha nimuige Nyaningabu kwenye hili!
 
Ukiona mtu anasubiri kupata nafasi ndiyo aboreshe maisha yake, huyo wala siyo kiongozi bali ni mzigo kwa taifa. Maana wengi wa hao hawajui kuzalisha zaidi ya kutumia...Na ndiyo tulionao kwa wingi kwenye kampuni yetu...Mtu hata kupata basics zake ilikuwa shida mara akajifanya chawa kisha kapewa shavu anachojua nikwenda kukausha hazina tu na siyo kuiongezea ukubwa
 
Hawezi kukubali kutoka ki vyovyote Yule..

Ni kumfuta tu ...ghafla ili kuua mpaka chawa na mazalia yake...

Nakwambia kweli..Mobutu anakuja huyo..
 
Hilo.neno zima mkuu...

Mimi pia sipendelei ayawe..lakini Kama aliona Ni vyema wakukurupuka atangulie ili kuondoa adha zake ambazo naamini nyingi alifanya kwa kupangiwa ili kukinusuru kile Cha mwenyekiti..basi na yeye aende ...maana Ni mbaya pengine Kama late sema anajua namna ya kuicheza michezo.. kapoteza wengi pia kimya kimya
Na mbaya zaidi kaanza kutaka kujimilikisha kampuni.. ..unajua huko mbele atatufa ya nini huyu?!
 
Unamuonea bure late CEO, hawa watu kutoka kwa PAKA wapo miaka mingi hapa nchini tokea enzi za uhuru, na wengi wao walikuwa majeshini,serikalini ,vyuoni na hata huyo `born town anawajua sana na hata kwenye utawala wake walikuwepo, na mmoja wapo alikuwa msemaji wa jengo jeupe karibu na soko la samaki enzi za Born town, na hadi sasa tunao ndio hawa wanajifanya wataka katiba ,hawa walikuwa wanamiliki magazeti na hadi sasa wana gazeti lao la kufungia utumbo, huyu amewahi kuwa mtu mzito na kuwa meneja kampeni wa marehemu mzee Ole wa Lupaso Koplo Dunia. Born town ndiyo aliyoyataka baada ya kuwaondoa wenzake ili abaki yeye kama Don. Marehemu Ole aliawanyamazisha akina Koplo Dunia sasa wameanza tena kubweka, mtu hasahau kwao hata kama hajazaliwa kwao.
 
Mkuu, hii code ya koplo dunia imenifanya nicheke. Nilirudia twice ndio nikaelewa vizuri.

Hawa kutoka kwa paka walikuja zama za machafuko ya kimbari sio?
 
Wanazingua mnoo. Wanajifanya usafi wakati makwao pa hovyom always watatafuta hata sababu ya vumbi kidogo tu. Yaan always.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mazafaka kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] hii mazafaka umenikumbusha shuleni advance. Tulikuaga tunavaa allstars sports day na vest nyeusi za spider na hizo shorts. Hizo allstars tulikua tunaziitaga mazafaka. That time shule ilikua ya girls tupu. Hapa katikati wamekuja jenga na ya boys. Sasa sijui kama wataendelea jifanya tomboys na mazafaka zao[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hivi jamani hili jambo titalisort vipi. Mbaya zaidi hii mizizi ccm waliyoikita daah
Upinzani nao ndo nkaa tia maji tia maji. Huu uzalendo wa kweli utaoatikana wapi jamani? Kuendelea kuua sindo tutazidi kichochea visasi? Maana kila kundi lina watu wao. Sindo matabaka yanazidi?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…