Dark days 17/03/20...

Ila pamoja na kuwa fiction ni kuwa kuna ka uhalisia fulani wa mambo yanavyoenda hapa kwetu,pia ukiangalia team Born town wote ni wa dini moja...
 
Jamaa yuko vizuri...
 
Mayala huyo.. ...
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji3578]
 
Robert Ludrum, THE MATROCK PAPER
Sio Matrock ni Matlock!
Jamaa alifariki mwaka 2001 huku ameabdika Series zake za Jason Bourne ni hizi
The Bourne Identity 2002
The Bourne Supremacy 2004
The Bourne Ultimatum 2007
The Bourne Legacy 2012
Jason Bourne 2016
Na full list ni hii
 
Kumbe mzee side boy naye ni mtu wa fiction stories?
 
Mzee baba usishabikie vitu usivyovijua, ni kweli walikosha ujambazi maeneo yote lakin nyuma ya watu Saba unaowasema walichomolewa Kuna mengi, Soo wee tulia
 
Asante brother P kwa list hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…