Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Hunijui wewe kaa kimya usijifanye fundi kujuaMzee baba usishabikie vitu usivyovijua, ni kweli walikosha ujambazi maeneo yote lakin nyuma ya watu Saba unaowasema walichomolewa Kuna mengi, Soo wee tulia
SawasawaKwa Sheldon, umemshusha, huyu yoga ni level ya Fredrick Forthy na Robert Ludlum au Malachi Martin
P
Duh....nimebahatika kusoma zaidi ya vitabu 15 hapo🙏🙏🙏Sio Matrock ni Matlock!
Jamaa alifariki mwaka 2001 huku ameabdika Series zake za Jason Bourne ni hizi
The Bourne Identity 2002
The Bourne Supremacy 2004
The Bourne Ultimatum 2007
The Bourne Legacy 2012
Jason Bourne 2016
Na full list ni hii
- The Scarlatti Inheritance, 1971
- The Osterman Weekend, 1972
- The Matlock Paper, 1973
- Trevayne, 1973
- The Cry of the Halidon, 1974
- The Rhinemann Exchange, 1974
- The Road to Gandolfo, 1975
- The Gemini Contenders, 1976
- The Chancellor Manuscript, 1977
- The Holcroft Covenant, 1978
- The Matarese Circle, 1979
- The Parsifal Mosaic, 1982
- The Aquitaine Progression, 1984
- The Icarus Agenda, 1988
- The Road to Omaha, 1992
- The Scorpio Illusion, 1993
- The Apocalypse Watch, 1995
- The Matarese Countdown, 1997
- The Prometheus Deception, 2000
- The Sigma Protocol, 2001
- Hivi vitatu alifariki kabla ya ku vi publish, hivyo vikachapishwa baada ya kufariki yaani posthumously
- The Tristan Betrayal, 2003
- The Ambler Warning, 2005
- The Bancroft Strategy, 2006
- P.
Hongera sana.Duh....nimebahatika kusoma zaidi ya vitabu 15 hapo🙏🙏🙏
Upo sahihi nadhani kuna kundi la watu liliumia bila hatia. Unaweza kutapa ABC kidogo mkuuMzee baba usishabikie vitu usivyovijua, ni kweli walikosha ujambazi maeneo yote lakin nyuma ya watu Saba unaowasema walichomolewa Kuna mengi, Soo wee tulia
PointiTatizo lake alikuwa materialist ndio hapa alianza kujichanganya, yeye alipenda vitu bila kuviwekea misingi ya utu na uwazi. Kwa mfano issue ya elimu bure alikurupuka maana nchi yetu bado ni changa haina financial supremacy kutoa free service. Leo ukienda kwenye shule zetu unalia, hali mbaya sana. Badala ya kuboresha elimu yeye alipenda sifa zaidi.
Kiongozi sio kujenga madaraja na kutunisha misuli. Kwenye dunia ya leo unadanganya watu kwa unaweletea maendeleo badala ya kuwajengea uwezo wajiendeleze wenyewe. Mzee alikuwa mtendaji ila hakuwa kiongozi mzuri
Nimesoma hii passage umeweka codes nyingi ambazo umekuja kuzifungua fungua mbeleni.Guys am sorry ntakuwa off line kwa muda mrefu kidogo!! Sorry!![emoji15][emoji43][emoji43][emoji43]
Ni Rahisi SANA kiongozi mmoja kukaa pembeni kuliko raia zaidi ya milioni 40 kuhamia Burundi, kwanza Nchi yenyewe haitoshi. AmenNiondolee wehu wako hapa, na mama kila kukicha anaupiga mwingi hatua kwa hatua, kama unaona mama anakukera, Dunia ni kubwa hamia nchi nyingine au jifie mwenyewe.
Ndio mumeo huyo!Hahhaha maana kila nikiwa kwenye story lazima aniambie
Hii taarifa aipate@mpyayungu village!Wale wasimuliaji wa humu jifunzeni kwa yoga yani anashusha episodes nyingi kwa siku moja tena bila kubembelezwa.
Hiyo option ya kubadili jina unapataje.Mimi nataka kubadili jinaMkuu, mbona ni kitu cha kawaida, kuna option ya kubadili username yako.. mfano mimo sikuanza na username hii, ila niliomba kubadili
Ukipenda, waweza fananisha na hoteli ambayo gorofa yake ya juu kabisa, kila ufikapo top unakuta top ingine, ad infinitumMkuu ukubwa huo unatokea wapi wakati kila siku tunaona nyuzi kuwa jamaa PAKA amepenyenya watu wake tena wapo sehemu nyeti na kila siku anapata taarifa ya hii kampuni kwa kadri anavyotaka hebu fafanua vzuri huo ukubwa maana sometime napata hasira sana nikpataga hiz habari kuhusu nyau.
Sio Matrock ni Matlock!
Jamaa alifariki mwaka 2001 huku ameabdika Series zake za Jason Bourne ni hizi
The Bourne Identity 2002
The Bourne Supremacy 2004
The Bourne Ultimatum 2007
The Bourne Legacy 2012
Jason Bourne 2016
Na full list ni hii
- The Scarlatti Inheritance, 1971
- The Osterman Weekend, 1972
- The Matlock Paper, 1973
- Trevayne, 1973
- The Cry of the Halidon, 1974
- The Rhinemann Exchange, 1974
- The Road to Gandolfo, 1975
- The Gemini Contenders, 1976
- The Chancellor Manuscript, 1977
- The Holcroft Covenant, 1978
- The Matarese Circle, 1979
- The Parsifal Mosaic, 1982
- The Aquitaine Progression, 1984
- The Icarus Agenda, 1988
- The Road to Omaha, 1992
- The Scorpio Illusion, 1993
- The Apocalypse Watch, 1995
- The Matarese Countdown, 1997
- The Prometheus Deception, 2000
- The Sigma Protocol, 2001
- Hivi vitatu alifariki kabla ya ku vi publish, hivyo vikachapishwa baada ya kufariki yaani posthumously
- The Tristan Betrayal, 2003
- The Ambler Warning, 2005
- The Bancroft Strategy, 2006
- P.
Ni movie au VitabuJamaa ni wamoto kwenye uandishi.
Hizo movie kwenye hiyo list nimeangalia zote na sijawai fikiria kuzifuta[emoji122][emoji122][emoji122]
vitabu vingine walitengeneza movie nadhani.Ni movie au Vitabu
anko umenikosha kwa hii list.umenikumbusha mbaliSio Matrock ni Matlock!
Jamaa alifariki mwaka 2001 huku ameabdika Series zake za Jason Bourne ni hizi
The Bourne Identity 2002
The Bourne Supremacy 2004
The Bourne Ultimatum 2007
The Bourne Legacy 2012
Jason Bourne 2016
Na full list ni hii
- The Scarlatti Inheritance, 1971
- The Osterman Weekend, 1972
- The Matlock Paper, 1973
- Trevayne, 1973
- The Cry of the Halidon, 1974
- The Rhinemann Exchange, 1974
- The Road to Gandolfo, 1975
- The Gemini Contenders, 1976
- The Chancellor Manuscript, 1977
- The Holcroft Covenant, 1978
- The Matarese Circle, 1979
- The Parsifal Mosaic, 1982
- The Aquitaine Progression, 1984
- The Icarus Agenda, 1988
- The Road to Omaha, 1992
- The Scorpio Illusion, 1993
- The Apocalypse Watch, 1995
- The Matarese Countdown, 1997
- The Prometheus Deception, 2000
- The Sigma Protocol, 2001
- Hivi vitatu alifariki kabla ya ku vi publish, hivyo vikachapishwa baada ya kufariki yaani posthumously
- The Tristan Betrayal, 2003
- The Ambler Warning, 2005
- The Bancroft Strategy, 2006
- P.
Hata wewe tutakusafirishaSaiv tuko busy kusafirisha wanyama maana serikali isha toa go ahead #Royal tour