Ninakumbuka shairi moja la zamani kidogo, "akili yangu nyembamba, haijajua methali" wale wa umri lazima uliimba au kusema ngonjera hili shairi.Hujui deep informer ni nani kwenye hadithi?
Hujui kijana msema sana?
Hujui old Ceo?
Nje ya simulizi umeshindwa kufungua code nyepesi baba mpambania democrasia alokuwa kabatini? Una umri gani?
Mwanaume haitwi mmbea... Anaitwa Jasusi
mama amevuka mipaka yakeMwanaume haitwi mmbea... Anaitwa Jasusi
Naomba kumjua branch Manager tafadhali maana wengine wote code zipo uchiHujui deep informer ni nani kwenye hadithi?
Hujui kijana msema sana?
Hujui old Ceo?
Nje ya simulizi umeshindwa kufungua code nyepesi baba mpambania democrasia alokuwa kabatini? Una umri gani?
Kama ukitambua kuwa hela inaweza kumfanya hata ndugu yako wa damu akakuplot uende kuzimu kwa kupanga genge lake tu na masterplan nzuri basi hutashangazwa na kilichompata CEO the closest person is the one who can kill you.Siamini kama CEO Alikuwa mzembe kiasi hiko, labda kama walimpumbaza na uchawi au alikosa watu sahihi wa kufanya nao kazi
Sijajua kijana msema sana au pole tu? Mpambania democracy ni DJ? Wengine nawafahamu. Umri wangu Nina miaka 12 na nusu.Hujui deep informer ni nani kwenye hadithi?
Hujui kijana msema sana?
Hujui old Ceo?
Nje ya simulizi umeshindwa kufungua code nyepesi baba mpambania democrasia alokuwa kabatini? Una umri gani?
Wrong assumption bossUtakuwa haufuatilii yanayoendelea kwenye hii nchi
Nmekusomanje ya mada
Ukipanda daladala huwa unampa nani nauli?
Hahaha aiseeHujui deep informer ni nani kwenye hadithi?
Hujui kijana msema sana?
Hujui old Ceo?
Nje ya simulizi umeshindwa kufungua code nyepesi baba mpambania democrasia alokuwa kabatini? Una umri gani?
Mhhh!! Kwanini unapinga? Au Ku doubt??Ila huyu sidhani kama alihusika katika tukio lile kwa asilimia hata 1
Mwenye shule ndogo ila akili mingi mjini, mtu wa kujipendekeza saana na rahisi kuaminiwa anapenda sana kugombana na matajiri, nasikitika sana kwa nini the late ceo alimuamini wakati yule ni kijana wa old CEO ndo alimleta kwenye kampuni.Naomba kumjua branch Manager tafadhali maana wengine wote code zipo uchi
Naomba ufungue hii code ya branch manager kwa neno raisi bila kumtaja jina Natanguliza shukran
MUNGU keshalipa kisasi cha Ben Saa8, Azory, Akwilina na wengine wengi, roho ya maumivu ni mojaI ish waliodhulumiwa uhai wawe wanapewa ruhusa ya kulipiza visasi.
Bado inaniwia vigumu kuliamini hiliMwenye shule ndogo ila akili mingi mjini, mtu wa kujipendekeza saana na rahisi kuaminiwa anapenda sana kugombana na matajiri, nasikitika sana kwa nini the late ceo alimuamini wakati yule ni kijana wa old CEO ndo alimleta kwenye kampuni.
Upumbavu namba moja ni kukubaliana na hili chapisho lako hapa.ni ujinga kuamini mzee wa msoga ndio alicheza hii movie, ila naamini kabisa kuna watu walicheza, lakin mastermind hawezi kuwa mzee wa msoga!
pia yezebeli ametumika kwenye stori hii kama informer, kitu ambacho sio kweli, maana huyu hakuwahi kuaminiwa na timu jiwe!
Jamaa ni muumini mzuri wa kristo ndicho kilimuokoa kile😅 af jamaa walivyokuwa wahuni wakatembelea upepo wa Korona yani kila waliempiga na kitu kizito wakaipa lawama Covid kwa hio kundi la maboya waliamini New CEO kakabwa na Corona and the rest of the Company membersKuna huyu assistant wa sasa wa CEO aliugua sana mpaka akazushiwa amekata kamba, hiki kipindi ilikuwa kwenye february last year, wakati huu watu wa karibu wa the late walikuwa wanapotea hovyo.
Jamaa mpaka alilia kwenye press, sasa sijui alilia nini, au na yeye alishika zile dokuromenti?
Lakini kama aligusa dokuromenti kwa kitu kilichowekwa pale ilikuaje akashinda umauti?
Halafu inaonekana kulikuwa kuna team tayari inajua hachomoi, kwa maana habari zilizagaa balaaa kwamba jamaa he is no longer with us... Mkuu hebu tujulishe hii imekaaje..?
Halafu alionekana amedhoofu na alikua anakohoa ovyo.
Nasubiri na hili utufafanulie kidogo..
Born Town mzee wa kinyele😂 jamaa ni mdeadly in a decent smile!Anataka amzunguke born town, wanamla kichwa soon.