Kuna huyu assistant wa sasa wa CEO aliugua sana mpaka akazushiwa amekata kamba, hiki kipindi ilikuwa kwenye february last year, wakati huu watu wa karibu wa the late walikuwa wanapotea hovyo.
Jamaa mpaka alilia kwenye press, sasa sijui alilia nini, au na yeye alishika zile dokuromenti?
Lakini kama aligusa dokuromenti kwa kitu kilichowekwa pale ilikuaje akashinda umauti?
Halafu inaonekana kulikuwa kuna team tayari inajua hachomoi, kwa maana habari zilizagaa balaaa kwamba jamaa he is no longer with us... Mkuu hebu tujulishe hii imekaaje..?
Halafu alionekana amedhoofu na alikua anakohoa ovyo.
Nasubiri na hili utufafanulie kidogo..