kumbuka borntown ni mwamba wa hizi mambo ndio maana akaamua amsogeze na nduguye Mango karibu bahati mbaya EL hajiwezi tena chamoto wangekionaSystem ilisukwa na ipo mpaka sasa, subiria kidogo tu utasikia born town anapiga yowe na kunyamaza mazimaa.
Old CEO alikufa but system yake haikufa ipo hai, nasema ipo na utajua siku ile ambayo huyo mjanja wa mjini atakapogeuzwa kama chapati kikaangoni.
Hapana, nyie Wachagga peke yenu ndio watu.Wasukuma kwani nyie ni watu basi endele kuota
Yoga hakupost hii story kwenye jukwaa la entertainment ama jukwaa la siasa bali akileta hapa.Mkuu elewa kwamba tunasoma simulizi.. Ambazo hatuna uhakika nazo japo.... Kuna ukweli asilimia kidogo.. Pia kuna uongo kidogo ili simulizi hizi zinoge na kuongeza uelewa wa mambo...
Mimi nilibahatika kuonana na mtu mdogo sana.... aliye unga JUHUDI ZA JIWE..... na kwa cheo chake cha chini ni local representative (diwani) ...
Alikaa kimya kwenye juhudi zake... Mpaka siku moja akatoa siri kwamba alidakwa na kuwekwa sehemu ambayo hajui..... Na kupewa masharti makali... Hakununuliwa.... Na hata leo yupo tuu mtaani....
Alisema alijua anayo familia inamtegemea... Na hawezi kurisk maisha yake.... Bora ajiuzuru.. Na kuunga juhudi.... Basi.... Aliambiwa nini mpaka leo ni siri yake...
Huwezi kusema eti kununuliwa.... Kulikuwa na kitu behind The since...
Fanya tafiti kidogo... Utajua.... Eti nchi imechezewa.....? Mkuu acha kabisa.... Wakati ndio nchi alikuwa anaichezea mwenyewe...
Lakini si unasikia kilio cha born town! Analalamika kuwa old CEO alisababisha akaporomoka haswaa ππkumbuka borntown ni mwamba wa hizi mambo ndio maana akaamua amsogeze na nduguye Mango karibu bahati mbaya EL hajiwezi tena chamoto wangekiona
Duu uelewa unatofautiana,, wengine wameelewa kuwa franlin Delano Roosevelt tayari alishaanza utawala kitambo na ndo alikuwa Kama anamalizia hivFDR :- franklin delano roosevelt na utawala wa Miaka 12 ndani ya TANZANIA,uzi wa Tumia akili !ilitokea marekani itatokea na huku! Mango umri wake mkubwa Sana hawezi tawala KWA miaka 12 hapa Tz!!
TUSUBIRI
sijakuelewa unaposema "walishavulishwa mavazi" wakati kwa sasa Borntown ndie remote control wa king'amuzi cha BimPemba na kaambiwa airudishe system ya Borntown na akairudisha na kuwatoa wa late CEO kwa hiyo mr borntown is awake nowLakini si unasikia kilio cha born town! Analalamika kuwa old CEO alisababisha akaporomoka haswaa ππ
Mango naye aliminywa kende hadi kakimbilia kwa kabwela mzito.
Mpaka sasa sijauona usmant wa born town na genge lake maana weshavulishwa mavazi sasa wanajiuma uma tu na kujifariji, time will tell.
Huyo kijana sio mtawala wa nchi, ugomvi na Mungu ni kumuua mtawala wa nchi kwasababu hakuna mtawla aliyejiweka, awe mbaya au mzuri
Kumbuka pia kuna vijana wengi wameuawa na mr born town waliokuwa wanamstukia, wengi mno kaua. Na ndiyo maana vita ilikuwa kubwa sana kwa wazalendo. Sasa hivi nadhani walishajua sasa mbaya wao. Uzuri siku zote vijana wa kazi wala huwa hawana papala, inaweza chukua hata 5 or 10 years ila siku wakiliamsha dude ni noma
Agachu yu!Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.
Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.
Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.
Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.
Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.
Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.
Lakini si unasikia kilio cha born town! Analalamika kuwa old CEO alisababisha akaporomoka haswaa [emoji23][emoji23]
Mango naye aliminywa kende hadi kakimbilia kwa kabwela mzito.
Mpaka sasa sijauona usmant wa born town na genge lake maana weshavulishwa mavazi sasa wanajiuma uma tu na kujifariji, time will tell.
Kwa hiyo mpaka yeye kuwa "remote control" hujaelewa tu kuwa borntown is naked?sijakuelewa unaposema "walishavulishwa mavazi" wakati kwa sasa Borntown ndie remote control wa king'amuzi cha BimPemba na kaambiwa airudishe system ya Borntown na akairudisha na kuwatoa wa late CEO kwa hiyo mr borntown is awake now
Kwamba wako hai halafu jiwe anaoza kaburini wala hawatafuti hao wahuni.Wanabakia kuwa smart sana kwani wao ndio wako hai na wanaendesha show kwa sasa. Huyu mwingine ameshaoza tayari!!
Binafsi waliounga juhudi wote wakati ule niliwadamehe walipitia nyakati ngumu sana.Mkuu elewa kwamba tunasoma simulizi.. Ambazo hatuna uhakika nazo japo.... Kuna ukweli asilimia kidogo.. Pia kuna uongo kidogo ili simulizi hizi zinoge na kuongeza uelewa wa mambo...
Mimi nilibahatika kuonana na mtu mdogo sana.... aliye unga JUHUDI ZA JIWE..... na kwa cheo chake cha chini ni local representative (diwani) ...
Alikaa kimya kwenye juhudi zake... Mpaka siku moja akatoa siri kwamba alidakwa na kuwekwa sehemu ambayo hajui..... Na kupewa masharti makali... Hakununuliwa.... Na hata leo yupo tuu mtaani....
Alisema alijua anayo familia inamtegemea... Na hawezi kurisk maisha yake.... Bora ajiuzuru.. Na kuunga juhudi.... Basi.... Aliambiwa nini mpaka leo ni siri yake...
Huwezi kusema eti kununuliwa.... Kulikuwa na kitu behind The since...
Fanya tafiti kidogo... Utajua.... Eti nchi imechezewa.....? Mkuu acha kabisa.... Wakati ndio nchi alikuwa anaichezea mwenyewe...
Hiyo namna ni kwa Katiba bora na katiba mpya tu.Kila siku tunalalamika kwanini kampuni haiendelei vile inavyotakiwa huku kukiwa na Rasilimali za kutosha kumbe ni Kwa sababu ya watu wachache wanaokula Sana kina Borntown.inabidi kitu Fulani kibadilishwe.Namna ya kutumia rasilimali yako vizuri kuendesha nchi yako tujifunze Kwa waarabu na Warusi.
we mwwongo. Late CEO mzalendo gani anayefanya matendo yale? Borntown anaonekana wa maana sana kuliko yeye.Kwani yeye akiwa mtawala wapinzani wanamzuia nini kuongoza? alikuwa na sifa gani nzuri na kwanini alazimishe kupendwa?Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.
Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.
Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.
Nasikia wale Covid 19 waliahidiwa kuolewa ππBinafsi waliounga juhudi wote wakati ule niliwadamehe walipitia nyakati ngumu sana.
Ukikataa kuunga juhudi kwa kupokea mpunga basi jiandae Red Blood cells zako ni halali yao.
hata wale covid 19
Aliyesema nitahakikisha 2020 hakuna upinzani na akatekeleza kwa vitendo ni Borntown? Acheni uongo mchana kweupeSwala la kutawala milele walikuw wanamsingizia ilikuwa ni njama yule jamaa mwenye tabasamu zake.vijana wake wa habari ndo walisambaza hiyo ishu ili raia wamchukie late CEO
Bwashee, borntown ni maji taka yasiyofaa hata kumwagilizia bustani ya maua, ana jitahidi kutengeneza Kiki lakini wapi, he is naked now,kila mtu anajua kuwa borntown ni jambazi.we mwwongo. Late CEO mzalendo gani anayefanya matendo yale? Borntown anaonekana wa maana sana kuliko yeye.Kwani yeye akiwa mtawala wapinzani wanamzuia nini kuongoza? alikuwa na sifa gani nzuri na kwanini alazimishe kupendwa?
Usione kusmile kwa Borntown kama umewahi kumwakaza hasau ni mtu wa visasi, si tunamkumbuka yule mzee mjeda wa Kimasai alikuwa afande mkuu pale chuo cha wajeda kwa mr mamvi yule mzee amlimshtukia Born town alipokuwa kamisaa wa siasa, miaka ile wajeda walikuwa na makamisaa wa siasa, sasa kumbe Mr Born town akawa anachukua nyeti za mjeda wa kimasai na kumpelekea CEO wa kwanza, sasa CEO wa kwanza hakuwa na unafiki ikabidi amuite mkuu wa wajeda na kumuonyesha barua/ripoti kutoka kwa Born town aliyoandika kumchongea mjeda mkuu wa shule ya wajeda, na mkuu wa wajeda akamwambia mwalimu mkuu wa chuo cha wajeda kuwa Born town kaandika taarifa hii kumpelekea CEO wa kwanza ,sasa Mjeda wa kimasai akapandisha mori ikabidi mr born town afunge haraka virago, wengine wanadai alinaswa makofi, lol Mr born town akapata u CEO cha kwanza alichofanya ni kumtosa mjeda wa kimorani na kumbania stahiki zake, nasikia mjeda wa kimasai hali kiuchumi ilikuwa mbaya sana baada ya Mr Born town kumuwekea vikwazo kila sehemu,kifupi Born town muone hivyo hivyo anakukaanga huku anasmile na hasau , muulizeni hata aliyekuwa swaiba wake `mr barafu nyeupe kileleni.Kumbuka pia kuna vijana wengi wameuawa na mr born town waliokuwa wanamstukia, wengi mno kaua. Na ndiyo maana vita ilikuwa kubwa sana kwa wazalendo. Sasa hivi nadhani walishajua sasa mbaya wao. Uzuri siku zote vijana wa kazi wala huwa hawana papala, inaweza chukua hata 5 or 10 years ila siku wakiliamsha dude ni noma