Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

System ilisukwa na ipo mpaka sasa, subiria kidogo tu utasikia born town anapiga yowe na kunyamaza mazimaa.

Old CEO alikufa but system yake haikufa ipo hai, nasema ipo na utajua siku ile ambayo huyo mjanja wa mjini atakapogeuzwa kama chapati kikaangoni.
Eti wewe unajua hili alaf born town hajui,wewe una akili weee?
 
Alisingiziwa!? Inaamana unaamini vyama vya upinzani vilishindwa vyote? Unaamini hakuwa na mpango wakuwa na kuwatoa wapinzani mjengoni? Ili iweje wabakie wao tu? Au hao waliomsingizia ndio walimshauri Mjengo uwe na Chama cha kijani tu? Ili iweje?
Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.

Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.

Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.
 
Watu wanasoma hii stori juu juu tu.....
 
Hellow guys and Sorry pia!! Kuna kiubz flan kilipita but mambo yako vizuri sasa!! Dont miss the last two epsode next week!! Aisee hamtojutia!! .....tchaooo!
@yoga Asante kwa story hii.
Hakuna namna uweke link za post zako zote kwenye uzi huu iwe rahisi kutiririka nazo. Maana kuna watu wanacomment au kureply kama na wao wanasimulia inakua ngumu kufuatia posts zako.
 
Pole sana mkuu kwa changamoto ya wanao comment kama vile story ni yao, wavumilie tu maana huu uzi unafuatiliwa na members kutoka majukwaa yote 😂
Yaani hata wale wa mmu wapo hapa, ni fujo tupu🤣
 
Alisingiziwa!? Inaamana unaamini vyama vya upinzani vilishindwa vyote? Unaamini hakuwa na mpango wakuwa na kuwatoa wapinzani mjengoni? Ili iweje wabakie wao tu? Au hao waliomsingizia ndio walimshauri Mjengo uwe na Chama cha kijani tu? Ili iweje?
Kaa kwa kutulia the late CEO hakuwahi kuwa na tamaa za kutawala milele, yeye alitaka kwanza awapige chini wasakatonge, anyooshe kampuni basi na muda wake ungefika angetoka bila shida. Taama za majambazi ndo zilifanya mkakati wa kumtangaza kuwa anataka kuongoza milele. Ukwendreeeee huko kama hujui mambo soma comments.

Tajiri alitekwa the late CEO akasingiziwa kuwa ni yeye kumbe ni mbinu za born in town.
Hii yote ni kumchafua the late CEO.

Hii ni simulizi haina uhalisia na kilichomo bichwani kwako. Soma vitabu uenjoy simulizi hii.
 
tunaangalia kumtanguliza mtu, tena basi motoni anateketea mpaka Mr Born na wewe mtakapofuata, mwendazake na familia qwishney
na tunamuombea Born town afikishe miaka 100 halafu aende peponi kwa kazi ngumu ya kumfyeka mjomba wako.
Nani angemuweza mwendazake?
Ukiua Kwa upanga nawe utauawa kwa upanga.born town mwenyewe muuaji hata wakati wake wa uongozi Aliua wengi Tu na ukijumlisha na ufisadi siku zake zinahesabika haponi tena.hafai kuishi Tanzania anarudisha kampuni nyuma Kwa ufisadi na Kula keki ya kampuni peke yake.siku zake zinahesabika.ni MTU WA ovyo na ajabu ndo maana anamaadui wengi jiandae kulia.
 
Kila siku tunalalamika kwanini kampuni haiendelei vile inavyotakiwa huku kukiwa na Rasilimali za kutosha kumbe ni Kwa sababu ya watu wachache wanaokula Sana kina Borntown.inabidi kitu Fulani kibadilishwe.Namna ya kutumia rasilimali yako vizuri kuendesha nchi yako tujifunze Kwa waarabu na Warusi.
 
Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.

Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.

Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.
Mkuu elewa kwamba tunasoma simulizi.. Ambazo hatuna uhakika nazo japo.... Kuna ukweli asilimia kidogo.. Pia kuna uongo kidogo ili simulizi hizi zinoge na kuongeza uelewa wa mambo...

Mimi nilibahatika kuonana na mtu mdogo sana.... aliye unga JUHUDI ZA JIWE..... na kwa cheo chake cha chini ni local representative (diwani) ...

Alikaa kimya kwenye juhudi zake... Mpaka siku moja akatoa siri kwamba alidakwa na kuwekwa sehemu ambayo hajui..... Na kupewa masharti makali... Hakununuliwa.... Na hata leo yupo tuu mtaani....

Alisema alijua anayo familia inamtegemea... Na hawezi kurisk maisha yake.... Bora ajiuzuru.. Na kuunga juhudi.... Basi.... Aliambiwa nini mpaka leo ni siri yake...

Huwezi kusema eti kununuliwa.... Kulikuwa na kitu behind The since...

Fanya tafiti kidogo... Utajua.... Eti nchi imechezewa.....? Mkuu acha kabisa.... Wakati ndio nchi alikuwa anaichezea mwenyewe...
 
Back
Top Bottom